Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Mie napenda kazi yao
Ni wabunifu, hata kama natofautiana nao kiitikadi za siasa, hainisumbui
Ndio maana kipindi chao kinapendwa na wengi..
Mie napenda kazi yao
Ni wabunifu, hata kama natofautiana nao kiitikadi za siasa, hainisumbui
pande hz haziwezi yeye ataishia kuendesha Jahazi na Gamba lake! JF siyo pande za viraza.
Njaa kali mjini!!hawawezi kuwa gwanda, never!! Hayo ni magamba! Tena ya kobe!
hawawezi kuwa gwanda, never!! Hayo ni magamba! Tena ya kobe!
Hando ana ushahabiki wa kipuuzi sana nahisi atakuwa gamba.Siku alipokuwa anairusha clip ya Rwakatari alionesha anavoichukia CDM.Mtu mwenye kufanya reasoning asingeikomalia vile.Jamaa ana maneno ya kimbea sana
Mie napenda kazi yao
Ni wabunifu, hata kama natofautiana nao kiitikadi za siasa, hainisumbui
Ni kazi sana kujulikana
Watu wanakuweka kati wanaanza kukuchambua
Kila mtu kwenye kazi yake ana mapungufu
Ndi maana kuwa kuna idara za 'continuous Improvement'
Mtu ukiwekwa kati hapa, lazima watu wakutoe kasoro tu, ndio ubinadamu lakini kiukweli wanajitahidi sana.
Mtu anaejihusisha na mapenzi ya jinsia mojaHuyu G Hando huwa anajiita MKUDA! Nini maana ya hili neno???
Yaelekea unamfahamu kweli...!ahhh wale wote wana ID jf...ata kaka kibss wa kibonde anayo
muda mwngne nawashtukiaga utakuta mtu anaanzisha uzi wa clouds ivi...kumbe ni wao wenyewe wanatafuta maoni
hando kapoa kdg tangu apewe onyo...
apunguze ushabiki na atumie akili...tatizo la hando ni
1.USHABIKI UMEMZID NA UMEMZIBAMACHO so awez tena kutumia akili nyeupe kujaj mambo b4 ajapanua domo lake
2.ujana.ukinondon umemzd sana..mambo atakayojadili pale stereo bar na washkaji zake basi ndo ayo ayo anayaptsha kuwa ni kweli na kuyaongelea kwa kiond
3 nadhan smtmes anatumika pia...unampa kitu kdg then unamditekt aongee nin ili amwaribie flan kwa maslahi flani
4.sijui km alienda chuo cha utangazaji au kijielimu kdg ata kidiploma km anacho sjuiiiiiiiiiiiii...ni umjn mjin tu...ukiwa na tps bas unapewa dawat ufanye kazi
USHAURI
mimi nakupenda kaka hando nakwambia ukweli km vp nenda shule ukapgwe brash...yes idea na uzoefu wa utangazaj unao bt u nid some brash ili ujue ethics,principles na swaga zinazoongoza utangazaj ili mwsho wa siku uheshimike na kaz yako
kuna mtu alikuwa dereva kwa miaka zaidi ya 30 lakin akuwai kwenda driving skul/kufundishwa properly...basi kuna siku akapelekwa driving skul ahh alivyotoka apo akaadmit kabisaa dah kumbe NIMETENDA MAKOSA MENG SANA /NILIKUWA SIJUI KUENDESHA GAR...ingawa alikuwa anaendesha magar mpk uko kongo...zambia.....NADHAN UMENIELEWA NATAKA KUSEMA NINI...bas poa we fanya ivo....KIROHO SAFI TU.