haina ubaguzi wanakaribishwa sana hapa ni kuelimishana wasiogope
Punde hivi, nikiwa naskiliza kipindi chenu Power breakfast.
Nimekusikia Hando ukimuuliza Babra kama hua anatembelea Jamii Forums. Eventhough sikumsikia Babra akitoa jibu la moja kwa moja, kwamba hua anatembelea mara kwa mara, ama kwa nadra. Aidha nikakusikia ukimwambia Babra kwamba wewe (Gerald) unapaogopa sana Jf, kwa sababu watu wa hapa ni wakali mno!
:flock::flock: :flock:
:smile-big::rockon::lalala:
Na kwamba ukileta mawazo yalio tofauti tu , kidogo na ya Ma'member wa hapa wanakuchambuaje!. Na hicho ndiyo kinachokufanya uwe unachungulia tu, na kuumwaga! Nichukue fursa hii kuwaambia karibuni Jamii Forums kwa mapana.
Hapa ni mahala salama, na pana mengi ya maana na ya faida tofauti na unavyofikiri. Achana na kuchungulia, tia maguu yote, mlete na babra, dinna, @PJ, @Gea, ikibidi na Jahazi lote livute lije.
Ubaguzi upo !
Sio muhimu sana ila maboss wake ni wanaCCM (kwa mapenzi ama convenience).
Reply With Quotezaidi ya ki-valleyHao watu wanajua kujikomba kwa ccm, sijapata kushuhudia, wanaboaaaaaaaaaa!!
Hivi ile kitu ya Ustaadhi Ilunga amewahi kuirusha?? Ile ni ya hatari zaidi maana inashawishi jamii moja kuua jamii nyingine...Hando ana ushahabiki wa kipuuzi sana nahisi atakuwa gamba.Siku alipokuwa anairusha clip ya Rwakatari alionesha anavoichukia CDM.Mtu mwenye kufanya reasoning asingeikomalia vile.Jamaa ana maneno ya kimbea sana
Hivi ile kitu ya Ustaadhi Ilunga amewahi kuirusha?? Ile ni ya hatari zaidi maana inashawishi jamii moja kuua jamii nyingine...
Jamaa atakuwa analipwa.Si ajabu akitokea mtu wa kumhonga hata hiyo anaweza kuirusha.Hivi ile kitu ya Ustaadhi Ilunga amewahi kuirusha?? Ile ni ya hatari zaidi maana inashawishi jamii moja kuua jamii nyingine...
Jamaa atakuwa analipwa.Si ajabu akitokea mtu wa kumhonga hata hiyo anaweza kuirusha.
Mkuu! Username yako, ungekua footballer kuindika kwenye jezi ingemalizikia kifuani, kuisoma hadi mtu akuzunguke!