Gerald Hando & Babra Hassan Msiogope Jamii Forums!

Gerald Hando & Babra Hassan Msiogope Jamii Forums!

nachojua mimi JF c ya wanachadema tu
ni ya watu wote jamani,sasa habari ya chama
inakujaje?karibu Gerald Hando na Babra Hasan mjisikie
mpo nyumbani!


Shem!
Passion Lady you have been tie with me due that opinions!
Kumbuka wosia wa mumewe Mama Maria , dhambi ya ubaguzi!
Ukishaanza huyu chadema na huyu CCM what next?
Itafata Huyu DINI GANI ?
HUYU SIMBA Au YANGA?
Kisha KABILA then UKANDA!
It's a bad toxin!
 
Last edited by a moderator:
Gerald Hando.JPG
Gambaz @Work
 
Wanajamii tuheshimu itakadi ya mtu kama tunavyoheshimu dini yake,kabila lake,upagani wake na timu yake.At the end of the day we are all human beings.I don't think JF is for opposition parties ,la hasha !Kama wewe ni mzalendo utabaki kuwa mzalendo daima,haijalishi unatoka chama kipi cha siasa.
 
Hana jipya ni unafiki wake ndio umemfanya kuongea ivo kwamba ukienda tofauti tu na wanavyotaka watakuchapa na maneno! Sie kweli kama unamtazamo chanya wenye kuleta manufaa wala watu hawawezi kukupinga
 
waje!mnakaribishwa sana!niwajuavo mtayabeba ya humu na kupeleka redioni!hofu yangu kazi itawashinda!lakini hata msipokuja jf haina mazara mkae ukouko na magamba yenu.
 
Kuna clouds member mmoja alijiunga hapa ila alishindwa kuzuia hasira kwenye thread moja ilokua inaongelea mapresenter wengi wa clouds ni mashoga na wasagaji acha amwage mitusi,nahisi atakua bado kwenye ban
 
Kuna clouds member mmoja alijiunga hapa ila alishindwa kuzuia hasira kwenye thread moja ilokua inaongelea mapresenter wengi wa clouds ni mashoga na wasagaji acha amwage mitusi,nahisi atakua bado kwenye ban
Great Thinker ?
 
Last edited by a moderator:
Unatakiwa kuwa na msimamo wako na pia hoja za kuutetea. JF usije kwa lengo la kutaka kuwaaminisha au kuwasadikisha watu. Njoo na hoja na uitete kwa hoja na sio ushabiki
 
Back
Top Bottom