Gerald Hando apewa onyo baada ya kuhudhuria show ya VINEGA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gerald Hando apewa onyo baada ya kuhudhuria show ya VINEGA

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwita25, Dec 2, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Gerald Hando ameingia kwenye mgogoro na uongozi wa Clouds Radio baada ya kuonekana kwenye shoo iliyoandaliwa na Mbunge wa Mbeya mjini maarufu Sugu. Mtangazaji huyo wa kipindi cha asubuhi cha Power Breakfast ameandikiwa barua ya onyo kali kwa kitendo chake ambacho kimekiuka sheria iliyowekwa hapo awali kuwa hatakiwi mfanyakazi yeyote kuhudhuria onesho hilo ambalo kimantiki lilipangwa kama muendelezo wa vita ya maneno kati ya Sugu na Clouds Radio. Hando hakuwa tayari kuelezea tukio hilo pale alipotafutwa kwa njia ya simu na mpekenyuzi wetu.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  chanzo cha udaku wako..
   
 3. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wampe onyo na Adamu Mchomvu kwenye facebook wall yake ameweka picha za uzinduzi wa ant virus na picha za sugu kuonensha kumkubali,unajua Mwita sio wafanyakazi wote wa Wafu fm wanafurahia huo unyonyako unaofanywa na ruge,ingawaje hiyo habari yako sio ya kweli hata kidogo.

  http://facebook.com/amchomvu (About Adam brother from another mother.... )
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh haya
   
 5. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Na story zako za kutunga..yoo
   
 6. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,267
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Hando alishawahi hata kupiga nyimbo moja kutoka ndani ya AntiVirus Part One
   
 7. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #7
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Huyu Ruge mwenyewe ndio anasema hizi habari..halafu ww Ruge uache kujiita Mwita hilo jina letu wakurya na sisi hatupendi mambo ya kichini chini
   
 8. K

  Kalila JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda alivaa kofia na tungemuona tungemfanya kitu mbaya
   
 9. kaole

  kaole JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani nyinyi ni mazuzu wa mwisho kabisa
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Alipohudhuria alibeba bango kwanza ofc nzima ama?
   
 11. PATOXIC

  PATOXIC Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Clouds wawemakini w:A S 465:
   
 12. King2

  King2 JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Heshima kwako handn.
   
 13. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Crap FM
   
 14. only83

  only83 JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mwita25 umeanza lini kazi ya uandishi wa habari? kwa upande mwingine jamaa wanamnyanyasa sana pale,kuna kipindi walimpiga chini akawa analalama kwenye facebook sijui wakamuonea huruma wakamrejesha sasa naona kapewa nyingine..ushauri wangu kwake..Kwani wafu fm ni baba yake?

  377916_280833345293531_100001006044388_784886_1935174216_a.jpg
   
 15. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi kumbe wafanyakazi wa clouds hawana private life baada ya kazi.... hii kiboko
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wanahangaika hawa, kwani alikua kikazi?
   
 17. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa sijui kama wafanyakazi wa clouds huwa hawana private life baada ya kazi....!!!! sasa sijui hizi ajira za sikuhizi ni ajira ama utumwa lol!!
   
 18. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Sheria gani hizo ambazo zinakinzana na katiba ya nchi,yaani kila mtu ana uhuru wa kwenda popote pale maadamu havunji sheria ya nchi na si sheria za Clouds,hayo mambo ni fikra duni haitakiwa yawepo katika ulimwengu wa sasa,sasa hawa clouds wangekuwa na uthubutu fulani wa dola si ingekuwa taabu,haya mambo madogo tu wanakomaa ,mambo mengine ni ya kibnafsi sana kumkataza mtu mzima na akili yake,je kama familia yake ilipenda iende huko na yeye akakataa si ndio mwanzo wa kuvunja amani katika familia,kitendo si cha uungwana kupingana kwa Clouds na Sugu kusiambukizwe na kwa watu wengine,demokrasia ni popote pale sio kwenye vyama vya siasa tu hata huko Clouds,heshimuni haki za wafanya kazi wenu hao ndio ng'ombe watoao maziwa
   
 19. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,260
  Trophy Points: 280
  Closed FM
   
 20. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ila jamaa b12 na mbili alikuwepo maisha club.........tena alikua happy mbaya jamaaa.........sema yule changudoa feee hawezi coz anajikanyaga sana na mambo asiye yajua............. Ila adam mchomvu ni kinega wa siri siri
   
Loading...