Kwani tunabishania nini hadi uniletee hiyo principle? Naijua vizuri, ninachosema ni kuwa, kwangu mimi kujaa ni maji yanapofika pale palipotobolewa kwa juu. Kama kwako wewe kujaa ni hadi maji yamwagike sawa, tusibishane sana.Soma benullis principle uielewe vizuri
![]()
![]()
![]()