Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Tuambieni ni kwa nini No 7au No 11 au No yoyote ile unayodhani.
Zingatia bomba liingizalo maji na litoalo maji.
 
It's common sense to state that tank zero will fill first if the tap discharge is sufficiently high. Think outside the box. The puzzle should have stated - please assume slow tap discharge.

I rest my case.

Common Sense Is Not Common.
You should ask yourself the same.

This question just needs common sense, it not a rocket science and does not require any of what you purported to insinuate, they are constant, you should know that.
 
Lipi kati ya 7 na 11. Tatizo ni tafsiri ya neno kujaa. Kwa mtizamo wa kawaida tank 7 ndio linajaa kwanza. Kwa mtizamo wa kiubishi tank 11 ndio linajaa kwanza.Kujaza tanki hadi kufumua funiko siyo ujanja ni isirafu.
 
La kwanza kujaa namba 7.
Hapa namba 7 ndo litawahi kujaa


Sent using Jamii Forums mobile app
La kwanza kujaa namba 7.
Hapa namba 7 ndo litawahi kujaa


Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeshaa ambiwa pipa namba 0 limefunwa na mfuniko wa blue kama yalivyofungwa mengine na koki ya maji inamwaga pembeni kabisa mwa hili pipa ...sasa yatajaaje ,,ninyi bado mmengangania namba7,8,11?
 
...simple logic....ni mpaka tank number 11 lijae kwanza ndipo matanki mengine yote yafate kujaa...
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
Wewe ni noma mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom