Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Baada ya kufatilia kwa umakini sana nimegundua hamna tanki hata moja litakalojaa sababu ukiangalia tank 0 tap inamwaga maji nje maana yake hata ilo 0 haliwezi jaa sababu haliingizi hata tone ya maji na ndomaana mleta swali kaanza na tank 0 kwa maana nyingine alimanisha hamna maji yanaoingia.Maana yake km tank 0 halipokei hata toni basi matank yote yaliyobak nayo hayawez pokea maji.Mleta swali naomba mlejesho juu ya jibu langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ndugu zangu habari za wakati huu?

Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?

View attachment 554041

Ukionyesha alama ya maximum fill i.e. full mark itakuwa rahisi kutoa jibu sahihi, lakini kama ilivyo ni namba 7 ikifuatiwa na namba 11 kwa sababu full ya tank sio kule mdomoni. Ila kama mpaka kwenye mdomo wa tank basi ni namba 11.

Pia inategemea kama hiyo midomo ya matank na pipes zimekuwa sealed. Kama haijawa sealed kama inavyoonekana pale kwenye tank la kwanza basi litajaa namba 11 pekee, na ku-overflow pia.
 
Baada ya kufatilia kwa umakini sana nimegundua hamna tanki hata moja litakalojaa sababu ukiangalia tank 0 tap inamwaga maji nje maana yake hata ilo 0 haliwezi jaa sababu haliingizi hata tone ya maji na ndomaana mleta swali kaanza na tank 0 kwa maana nyingine alimanisha hamna maji yanaoingia.Maana yake km tank 0 halipokei hata toni basi matank yote yaliyobak nayo hayawez pokea maji.Mleta swali naomba mlejesho juu ya jibu langu.

Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi kabsaaaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
7, Kama hili ndilo swali la Majiniasi? basi hata mimi ni jiniasi!
 
7 haiwezekani kwa sababu haipo point ya mwisho kwenye mzunguko, ona yakikaribia kujaa yanachukuliwa kuelekea namba 10 ambayo nalo limetobolewa kwa chini kulisha namba 11
Angalia vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom