Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Genius Only: Ni Pipa Gani Litaanza Kujaa?

Hakuna tanki litajaa maji kwa Sababu hata tap yenyewe haiingizi maji Kwenye tanks... angalia tank 0 vs. Tap
 
Namba 7 litakuwa la kwanza kujaa kwa sababu mtiririko wa maji unalifikia bila kikwazo.
 
Hakuna tanki litajaa maji kwa Sababu hata tap yenyewe haiingizi maji Kwenye tanks... angalia tank 0 vs. Tap
Nimecheka sana mkuu. Sasa naona kila mtu anajitahidi kupambana na jibu lake.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Back
Top Bottom