Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 387
- Wewe ni msomi, so unapaswa kuelewa effect za binadam waliozoea kuishi kwenye failed policies, akiondoka kiongozi wa zile poilicies itawachua muda mrefu sana kuanza kujiamini, maana tatizo kubwa la kuzoea kuishi kwenye failed policies ni unapoteza kujiamini!
William.
William inawezekana uko sahihi. Lakini pia inawezekana hao waliobaki hawana/hawajaweza kufikiria "alternative" nyingine tofauti na zile policies walizoachiwa (have nothing to offer). Inawezekana pia walim-value kiongozi yule sana kwahiyo kila alilopendekeza lilikuwa sahihi; na litaendelea kuwa sahihi regardless ya muda hivyo, hawaoni umuhimu wakuzibadilisha. Policies za wakati ule inawezekana zilikuwa nzuri kwa wakati ule; lakini kwasasa zimepitwa na wakati. Je uongozi au CCM ya sasa ina policies mpya zaku-replace hizo zilizopitwa na wakati? Ni ngumu kuwaelimisha watu wakatae kitu walichokizoea wakati huna kipya cha ku-compare/kureplace kile walichonacho.
[MENTION]Matola [/MENTION]mbona unatoka nje ya mada
Zungumzia na muungano basi- Noamba nikuelewe unasema kwamba hicho kitabu kina majibu ya why we were right kuunga mkono uasi against the Federation? Is that right?
William.
Ok,Nyerere alikosea,so what??kwa hiyo unataka tuhalalishe wanayofanaya magamba sasa hivi au??waht is ur motive bro??- Hapo umesema moja la msingi kwamba alikuwa mjanja sana kwamba hata alipokosea tunashindwa kujadili kwa uwazi mpaka leo akiwa hayupo, kwa hilo ni kweli alikuwa mjanja sana!!
William.
ritz hebu sogea kidogo uwataje viongozi wa nchi hizo wakati wanaunga mkono maasi ya Nigeria. Tafadhali, utakuwa umekamilisha darsa.Mkuu wangu tatizo lako unadhani kila kitu hunajua wewe ngoja na mie nikupe darsa kidogo ili twende sawa.
General Chukweuemeka Odumengwe Ojukwa, kazaliwa 1933 mjini moja unaitwa Zungeru.
Biafra ipo Kusini Mashariki ya Nigeria wakazi wake wengi ni kabila la Waigbo.
Uasi wa kijeshi Nigeria ulianza miaka ya 1966 baada ya Waziri Mkuu wa kipindi kile Abubakar Tafawa Balewa, kutoka Kaskazini kuuliwa na wanajeshi. General Mkuu wa jeshi la Nigeria Johnson Aquiyi, Muigbo. Akachukuwa uongozi wa nchi.
Uasi mwingine ukafanyika kikundi kutoka Kaskazini walimuaa General Johnson Aquiyi, na General Yakubu Gowon akachukuwa uongozi wa jeshi.
Baada ya apa ndio kisa kikaamia Biafra baada utawala mpya wa General Gowon, kubadilisha muundo wa utawala Biafra walikuwa wanapinga na hawataki utawala wa wanajeshi Waislam...nimekupa darsa kidogo hujue kumbe na mie najua.
Na mie nakuuliza swali kwa nini nchi tano tu duniani ziliutambua utawala wa Biafra nchi zenyewe ni Tanzania, Zambia, Gabon, Haiti, Code d Ivoire?
Nyerere alikosea sawa,lakin pia alipatia. Hata yeye alikiri hilo na kusema wazi ktk uongoz wao walifanya mengi yakijinga na mazur,sasa upuuz wa viongoz wa sasa wanaacha mazur nakufuata yakijinga.
Hiyo ya kuunga au kutounga mkono Ojukwu kwasa nadhan haina msingi hasa ukizingatia nn nchi yetu inakumbana nayo currently. Kama tulifanya makosa katika huo uungaji mkono je unachangia nn kwa hali yetu ya sasa and wht shld we do abt?
Mtanzania anaetaka tuamini kua ni mzalendo anatakiwa focus yake iwe kwe matatizo ambayo nchi inayo kwasasa tumejikutaje humu na atoe mawazo yake ya namna ya kujinasua.
Kueka thread zinazoonyesha chuki dhidi ya viongoz fulan ambao kimsingi walitoa maisha yao na tamaa za kibinadam wakajaribu kuzishinda kwajili ya watanzania wote ni ishara ya uzandiki,unafiki na chuki mioyoni mwenu.
Wengi (kasoro wanajitoa ufaham kwasabab zao) tunajua jinsi watanzania tulivyokua ignorant/illiterate akat wa utawala wa nyerere. Ni wachache sana walikua wanajua rasilimali za taifa na namna nchi inavyoendeshwa. Km Nyerere angekua na roho ya hawa tunawaona sasa ni wazi kina Makongoro na nduguze wasingekua watu wakugombea ubunge wowote.
Hebu tujadili mambo ya msingi kwa nchi yetu kwasasa. Uzur tunajua kinachowasukuma kueka chuki zenu machon pa watu dhid ya nyerere.
Nahili la udini mnalojaribu kutuletea kina Ritz halitusaidii chochote watz wa kawaida. Sisi msoto uko palepale regardless ya dini na ndio mana wanaojadili zaid dini za watu ni nyinyi mlioshiba lakin huku uswazin mkristo na muislam bega kwa bega ktk kubeba zege,dereva islam konda mkristo. Uislam au ukristo wenu unaishia huko, kwetu sisi hautusaidii chochote. Kiongoz uwe muislam au mkristo kwangu mimi n adu km unakwiba na hutupi ahuen wananchi.
Kazi kupanda chuki tu. Na mmelaaniwa baba zenu,nyinyi na vizazi vyenu. Hamtokufa mpaka mmepata aibu ya ubaya wenu na unafiki wenu.
ritz hebu sogea kidogo uwataje viongozi wa nchi hizo wakati wanaunga mkono maasi ya Nigeria. Tafadhali, utakuwa umekamilisha darsa.
Ojukwu amefarfiki juzi juzi tu na amepewa heshima kubwa na kuzikwa kwa heshma ya kitaifa.Hata sasa bado alikuwa anapendwa na wanaijeria wengi.
ritz nimekupata bila chenga! Hivi huyu Benard Bongo ndiye aliyekuja kuitwa Omary Bongo?Mkuu wangu Kimbunga.
Ngoja nimalizie darsa kwa kuwataja hao viongozi watano waliunga mkono uasi wa Biafara.
1. Rais wa Haiti Francois Duvalier.
2. Rais wa Tanzania J.K Nyerere.
3. Rais wa Zambia Kenneth Kaunda.
4. Rais wa Gabon Albert Bernard Bongo.
5. Rais wa Ivory Coast Felex Houphouet.
Mkuu nadhani darsa linatosha mie niishie hapa nilikuwa najaribu kuweka hizi nondo ili kuweka sawa.
Ikiwa Nyerere aliwaunga mkono Biafra kwa sababu ya dini, ina maana waliokuwa wakiteswa walikuwa wakristu hivyo kkuwafanya wale walopigana dhidi yao kuwa Waislaam sio?.. Mkuu wangu nyie mnatazama vitu gani?... ndio maana Jasusi na wengine wamewaambia kuwa mnafanya makosa sana kuifikiria udini kwa sababu aliyekuwa rais wakati huo alikuwa Gowon sio Mkandara ama Ustadhi akitetea dini yake, huu udini mkuu wangu unatoka wapi?.
Ikiwa Nyerere aliwaunga mkono Biafra kwa sababu ya dini, ina maana waliokuwa wakiteswa walikuwa wakristu hivyo kkuwafanya wale walopigana dhidi yao kuwa Waislaam sio?.. Mkuu wangu nyie mnatazama vitu gani?... ndio maana Jasusi na wengine wamewaambia kuwa mnafanya makosa sana kuifikiria udini kwa sababu aliyekuwa rais wakati huo alikuwa Gowon sio Mkandara ama Ustadhi akitetea dini yake, huu udini mkuu wangu unatoka wapi?.
Pia wamekuwepo marais wengine ktk Federation hiyo ya Nigeri
mkandara..
Kilichomsibu nyerere kujihusisha kule biafra it was for his own nyerere's kwa sababu kamwe watanzania hatukunufaika kamwe kwa lolote isipokuwa n kupata hasara ya raslimali zetu... Na kupoteza nguvu kaz zetu.. Kwa io kilicho mpeleka kule anakijua mwenyewee father nation