Hichi kiti cha Mbeya kitachukuliwa na CCM licha ya kuwa chama tawala popularity yake imeshuka huko Mbeya hata ikafikia JK kulengwa mawe , Chadema na CUF bila ya kusimamisha mgombea mmoja CCM itashinda kama Jimbo la Kilwa ,kwani CCM ilipata kura chache ila iliibuka mshindi kwani kura za Wapinzani zilikatwa katwa kama Kashata na CCm kuibuka kidedea.
It look Chadema wanaamini wao sasa hivi ndio big dog hawataki mashauriano na vyama vyengine vya upinzani ila hiyo ndio itakua bakora ya Wapinzani . Chadema ailiachiwa huko Musoma sasa ni zamu ya wao kuwa Wazalendo kuwa support Wanangangari CUF kwani mwaka 1995 CUF ilishika nafasi ya pili .
Kuna mengi ya kujiuliza nani atabadilisha ramani hii ya matokeo ya Uchaguzi mwaka 2010 kama jimbo la Mbeya tu Wapinzani wameshindwa kukaa kitako na kusimamisha mgombea mmoja na kuiweka CCM pembeni?
Who will change this map in 2010 ?
Tanzania. Presidential Election 2005 | Electoral Geography 2.0
Changes is not too late for Bongo Land.