Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Duh, ze gazeti iz bak..

Jei efu selebriti The Finest amgongea jiti mwandishi wetu kwenye kituo cha daladala. Amlaumu Invizibo baada ya singo yake kutofanya vizuri. Adai sauti ya Invizibo imeharibu pozi..

Kumbe Kongosho ni Dume? Kijeba mmoja wa Kihaya anusurika kufa kwa mshtuko kwa aliyoyaona.
 
Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lol
 
Mpaishe hewani kwenye kurasa za mwanzo mwanzo
ajue nini watu wanapenda kwenye gazeti letu la udaku.

Afu aje airudishe ile
Kile kifua hunipunguzia stress zangu kweli

Hata hii ni nzuri
Ila mie ni addict wa vifua saa sita
 
baada ya gazeti lake kukosa mvuto
Mhariri mkuu wa jf udaku abadili avatar
huu ni ushauri aliopewa na kalumanzila.
 
Mkurugenzi wa udaku JF ashindwa kutaja walipo wahusika wa habari zake zote, ni baada ya baadhi ya majina kuhusishwa na matukio ya hatari.
 
Name calling! mtu wa aina hiyo, tena anae m'winda kongosho ni mmoja tu hapa jf. lol

mh, ila Gazeti letu halitahusika na malalamiko yeyote kutoka kwa huyo mtu,
manake ulivyoelezea sifa zake watu wanaweza kumjua kisha Gazeti likashtakiwa..
JF Udaku haitohusika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

mie namhurumia mtu huyo
asante kwa kunitetea
asije wakampaisha bure

Umeona eeh?

Mtaje, acha woga ban a!

mtu huyo anaweza kuwa yeyote humu Jamvini mkuu, unaweza kutajwa hata wewe, shauri yako. lol
 
matengenezo ya jf yazua balaa, PM za members zahamishiwa inbox ya kongosho.

Wadau kadhaa wapanda dau ili afute PM zao, wengine wajitosa kununua PM za mastaa wa jf.

Stay tuned kwa matukio zaidi.

Ila yanayompata Bishanga PM yanatia huruma.
 
Last edited by a moderator:

Kongosho asababisha pressure ya Bishanga kwenda juu na sukari kwenda chini baada ya post yake ninayo inukuu hapa. Invisible akanusha kauli hili: hakuna PM zilizo changanya amwambia TANMO, mwandishi wetu wa habari.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom