Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,976
Orayt, usichelewe. Mwenyewe si unajua.........Usijali mkuu
nitaku pm tu,
naomba usininyime tu hilyo 'like' mtu wangu.
Orayt, usichelewe. Mwenyewe si unajua.........Usijali mkuu
nitaku pm tu,
naomba usininyime tu hilyo 'like' mtu wangu.
Orayt, usichelewe. Mwenyewe si unajua.........SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA![]()
![]()
@RussianRoulette Kumbe naye @EMT ni kibabu? kasheshe kweli kumbe sisi wengine ni vijana nimecheka kweli mkuu:lol:
Achana na RussianRoulette anatafuta kisingizio cha kunipa ban.
Asprin wacha kupotosha Umma, au umenifananisha na AshaDii??? Mimi na wewe tulicheza Kombolela, itakuaje ukamfunza baba mistari ya kumtongoza mama? Kiumri mimi naweza fananishwa na Mamndenyi tu humu ndani. Avatar isiwadanganye.We binti RussianRoulette........... nitake radhi kabla sijatema mate chini.....
Nakumbuka wakati mzee wako anamtokea mama yako mi ndo nlikuwa nampa mistari ya kuimbisha.... afu leo unasema eti mie ni mwezio kiumri. Ntaenda kukusemea kwa mama yako ambaye ni shem wangu. Rekebisha kauli yako EMT na MziziMkavu wanipe heshima yangu stahili.
MziziMkavu keshanipa dawa, acha nongwa.Kwani kuna ubaya gani kua mzee? si wote watazeeka tu? MziziMkavu, tatizo la EMT hataki kukubali miaka yake, anajifanya under 18... Old is Gold EMT, just accapt it utaona faida yake (talking from experience hapa)
MziziMkavu keshanipa dawa, acha nongwa.
Mbona uko obsessed na ujana? kwanza naomba urudishe ile profile picture yako ya zamani. Mi nilikua naipenda. Can you do that for me? 🙂
EMT Kweli wewe ndie yule babu hatari. Hivi hata kurudisha profile picture lazima PM? Basi acha tu, nitatumia kumbukumbu yangu na nguvu ya visiualisation kwa kuivuta akilini. I really loved it ... Or else I can do it for you. do you want me to do it for you? lolNitakuPM kama unaitaka.
Bibie@RussianRoulette umempania Mkuu@[B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20903"]EMT[/URL] asije kukasirika ukatumia Upanga wako (BAN) Muachie apumzike vipi bibi unapata usingizi mapema siku hizi? au bado ugonjwa wako wa kutolala upo?[/B]EMT Kweli wewe ndie yule babu hatari. Hivi hata kurudisha profile picture lazima PM? Basi acha tu, nitatumia kumbukumbu yangu na nguvu ya visiualisation kwa kuivuta akilini. I really loved it ... Or else I can do it for you. do you want me to do it for you? lol
Alhamdulilah mkuu, siku hizi napata usingizi wa kutosha, labda tu niamue mwenyewe kukesha (kama leo). hiyo PM anayo taka kutuma si atume tu? kwani wengine wananiomba ruhsa kabla ya kutuma?Bibie@RussianRoulette umempania Mkuu@[B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20903"]EMT[/URL] asije kukasirika ukatumia Upanga wako (BAN) Muachie apumzike vipi bibi unapata usingizi mapema siku hizi? au bado ugonjwa wako wa kutolala upo?[/B]
@RussianRoulette naona hayupo online labda atakapo kuja ndio atakujibuAlhamdulilah mkuu, siku hizi napata usingizi wa kutosha, labda tu niamue mwenyewe kukesha (kama leo). hiyo PM anayo taka kutuma si atume tu? kwani wengine wananiomba ruhsa kabla ya kutuma?
@RussianRoulette naona hayupo online labda atakapo kuja ndio atakujibu
Hahahahaha haya RussianRoulette nipe haki yangu. Kama umri wako ni sawa na wa Mamndenyi piga goti la kushoto wakati unanisalimu. Mamndenyi mi ni swahiba wa anko wake. Wakati tuko yunivasite na mamndenyi kakiwa nasare skuli mi na anko wake ndo tulicheza dili la kumtorosha ili asikeketwe na wale mabaradhuli wakata vimeo. Kwa kifupi ningeanza mchezo mchafu mapema kama swahiba wangu klorokwini wewe ungekuwa binti yangu wa tatu.

Nasubiri shikamoo yangu.
@Mamndenyi Ongeza kula kila sikuTunda la Avocado Uso wako hautaonyesha kujikunja maishani mwako utakuwa kijana pasipo na kujipaka marangi mengi ya uso.Tatizo watu ni kutokukubali hivi vitu mkuu,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge
naongeza na habasoda kidogoo,
kweli ngozi yangu ni nyororo kama ya mtoto mchanga,
Kivyangu nakushukuru sana mkuu.
EMT Kweli wewe ndie yule babu hatari. Hivi hata kurudisha profile picture lazima PM? Basi acha tu, nitatumia kumbukumbu yangu na nguvu ya visiualisation kwa kuivuta akilini. I really loved it ... Or else I can do it for you. do you want me to do it for you? lol
Unatafuta maandamano mengine wewe
Hahahahaha haya RussianRoulette nipe haki yangu. Kama umri wako ni sawa na wa Mamndenyi piga goti la kushoto wakati unanisalimu. Mamndenyi mi ni swahiba wa anko wake. Wakati tuko yunivasite na mamndenyi kakiwa nasare skuli mi na anko wake ndo tulicheza dili la kumtorosha ili asikeketwe na wale mabaradhuli wakata vimeo. Kwa kifupi ningeanza mchezo mchafu mapema kama swahiba wangu klorokwini wewe ungekuwa binti yangu wa tatu.
Nasubiri shikamoo yangu.
RussianRoulette heshima kwako kwa kila kitu mkuu,
ila kwa umri sijui.