Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Nipo mkuu MziziMkavu...naona leo umeamua kulisoma tena gazeti letu la Udaku JF... Hivi ulipata habari kua EMT ni kibabu? Miaka yenyewe sio mbaya ila sasa anavo jifanya pedeshee humu ndani watoto hawakutegemea atakua wa 1947. hahahaha
@RussianRoulette kumbe humu J.F. kuna Vibabu @EMT Asprin na wengine wengi tu hahahaahah nimecheka sana..... Nimeamuwa na mimi kuchungulia hapa kwenye Udaku wa J.F. Leo.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu unayo dawa yoyote ya kupunga uzee.
Naona imeshakuwa nongwa sasa.
@EMT dawa ya kupunguza Uzee fanya Mazoezi kila siku na uwe unakula tunda la Avocado kila siku asubuhi na jioni hata ukiwa na umri wa miaka 90 utaonekana mwenye umri wa miaka 40.

Avocado.jpg
 
Aisee. Ngoja nianze fasta mazoezi. Mazoezi ya aina gani?
Ila sasa huku kijijini hilo tunda linapatika kwa msimu tuu.
Hakuna alternative.
 
@EMT kama upo kijijini wewe huhitaji mazoezi fanya lima kwa kutumia jembe kila wiki lima japo mara 3 kwa wiki tunda litafute ukiweza kula japo mara moja kila siku asubuhi inatosha tu mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Asante Mkuu MziziMkavu,
itakuwa vizuri kama mhariri ataiweka hii kwenye kurasa za mwanzo,
itasaidia kupunguza makunyanzi na kuongeza ufanisi kwenye
idara ya nd oa za wana bodi mkuu.

@EMT dawa ya kupunguza Uzee fanya Mazoezi kila siku na uwe unakula tunda la Avocado kila siku asubuhi na jioni hata ukiwa na umri wa miaka 90 utaonekana mwenye umri wa miaka 40.

Avocado.jpg
 
Asante Mkuu MziziMkavu,
itakuwa vizuri kama mhariri ataiweka hii kwenye kurasa za mwanzo,
itasaidia kupunguza makunyanzi na kuongeza ufanisi kwenye
idara ya nd oa za wana bodi mkuu.
@Mamndenyi wauzaji wa hili tunda watapandisha bei kuna mambo mengine hayafai kuzungumzwa wazi kwa sababu ya kupandisha vitu bei mkuu si unajuwa wafanya biashara ni wajanja sana.
 
EMT na MziziMkavu, mi sina shida kabisa na miaka. Asprin mwenyewe ni mwenzangu wa miaka. labda Babu DC ndio amenizidi kidogo. I look my age and I behave like a person of my age would.
We binti RussianRoulette........... nitake radhi kabla sijatema mate chini.....

Nakumbuka wakati mzee wako anamtokea mama yako mi ndo nlikuwa nampa mistari ya kuimbisha.... afu leo unasema eti mie ni mwezio kiumri. Ntaenda kukusemea kwa mama yako ambaye ni shem wangu. Rekebisha kauli yako EMT na MziziMkavu wanipe heshima yangu stahili.
 
@Asprin Haitibu tena Maradhi ya kichwa imekuwa nzee tena hahahahah :lol::canada:
 
Tatizo watu ni kutokukubali hivi vitu mkuu,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge
naongeza na habasoda kidogoo,
kweli ngozi yangu ni nyororo kama ya mtoto mchanga,

Kivyangu nakushukuru sana mkuu.

@Mamndenyi wauzaji wa hili tunda watapandisha bei kuna mambo mengine hayafai kuzungumzwa wazi kwa sababu ya kupandisha vitu bei mkuu si unajuwa wafanya biashara ni wajanja sana.
 
Tatizo watu ni kutokukubali hivi vitu mkuu,
mimi huwa natumia unga wa majani ya mlonge
naongeza na habasoda kidogoo,
kweli ngozi yangu ni nyororo kama ya mtoto mchanga,

Kivyangu nakushukuru sana mkuu.
Ahsante kwa taarifa. Hebu nipe namba zako za simu. Nakusubiri PM kule.
 
Haa Haaaaa
Asprin Mzima wewe mkuu,
Ngozi atengeneze MziziMkavu pm
nikupe wewe, hapo ndo itakuwa ngumu sana mkuu.
Sijambo mzazi mwenzangu Mamndenyi

Hivi inakuwaje kama ngozi tu unagoma kwenda PM, yangekuwa macho si hata JF usinge log in? Khaa!

Vyovyote utakavyoamua, mi nakusubiri PM. Na usipokuja nafanya kampeni ya kutokugongea LIKE mpaka Yesu atakaporudi...
 
Last edited by a moderator:
Usijali mkuu
nitaku pm tu,
naomba usininyime tu hilyo 'like' mtu wangu.

Sijambo mzazi mwenzangu Mamndenyi

Hivi inakuwaje kama ngozi tu unagoma kwenda PM, yangekuwa macho si hata JF usinge log in? Khaa!

Vyovyote utakavyoamua, mi nakusubiri PM. Na usipokuja nafanya kampeni ya kutokugongea LIKE mpaka Yesu atakaporudi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom