Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,140
we kaongosho wee,hivi huyo kigori kwa nini hujanitambisha?Katavi apaka piko, ni baada ya kukubaliwa out na kigori wa jf
ha
bari kamili uk 3
we kaongosho wee,hivi huyo kigori kwa nini hujanitambisha?Katavi apaka piko, ni baada ya kukubaliwa out na kigori wa jf
ha
bari kamili uk 3
yagundulika,Husn katoa mimba ya rejao,adai rejao mchovu uwezo wa kutunza mtoto hana,rejao auliza !ulinipendea pua au uwezo?'
we kaongosho wee,hivi huyo kigori kwa nini hujanitambisha?
inasemekana very, very good atorokea ughaibuni
hehehe ndo nani huyo?
hicho kicheko ni kimeeleza yote
simwagi mchele hapa
ha ha ha haaaah!! Ungejua hata nywele zenyewe Katavi hanaKatavi apaka piko, ni baada ya kukubaliwa out na kigori wa jf
habari kamili uk 3
we kaongosho wee,hivi huyo kigori kwa nini hujanitambisha?
Khaaa...TF,Hivi TANMO ulikula mtaji wa Gazeti la JF Udaku mbona halionekani mtaani siku hizi....
Hali ya maisha ngumu kama wabunge wa Dodoma...ndio maana nacheki na TANMO walau tuanze tena kupiga kopi ya gazeti la JF Udaku ili tupunguze ukali wa maisha...Khaaa...TF,
Umekuja kufanya nini tena huku???
Hali ya maisha ngumu kama wabunge wa Dodoma...ndio maana nacheki na TANMO walau tuanze tena kupiga kopi ya gazeti la JF Udaku ili tupunguze ukali wa maisha...
Nilijua wewe mwandishi wa habari wa magazeti ya Kiu na Ijumaa sitakukosa humu..lolnimegundua wambea wa jengo hili ni Rajao na TF.
........na konnie aka mrs aspirin.nimegundua wambea wa jengo hili ni Rajao na TF.
........na konnie aka mrs aspirin.