Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Kweli JF inatisha. Kuna ladha za kila aina.Hata udaku pia?
Nimecheka sana leo.Aliyetia fora ni Rejao na TF hahahha.....
mbona mmeonewa sana kwenye kupakaziwa wapendwa?
WOS acha tu skendo zimenizidia...inabidi nimtafute Rejao tupange mikakati upya..
 
JF Udaku imebaini true IDs (ushahidi ukiwa mikononi mwa Lizzy na SL) behind majina ya uongo ya the following members hapa JF...

King'asti - Dudu baya

Finest - Mpoki wa Ze comedy

Roulette - Halima Mdee

First Lady - Asha Rose Migiro

MTM - P Funk (majani)

Rejao - January Makamba

Sizinga - Hashim Ludenga (ingawa kuna tetesi waweza kua wamekosea akawa ni Saint Ivuga)

Habari zaidi itafuata baada ya mda mfupi.
 
hahahaa...hizi zitakuwa habari za kiintelijensia tu..lol..
 
hahahaaa kumbee...dah nimeipenda hii isingekuwa kutumia cm ningekugongea like kwa kweli..

Mbona like unagonga tu hata kwa simu, unaweka tu katika mfumo wa desktop then upande wa kulia wa post kuna kitufe cha like.
 
Member fulani (jina tunalo) atoa ya kufungia mwaka..alitaka kujiua baada ya kutoswa na the boss...yadaiwa jiran yake kongosho alipopata habari alienda kumnunulia kinga ya mbu(maarufu "ngao") anywe ili imsaidie kufa haraka...member huyo aishia kumwagia mitusi na kutokomea kusikojulikana...
 
hahahaa...hizi zitakuwa habari za kiintelijensia tu..lol..

Haswa ni habari za Kiinteligensia ambazo zimekua hacked katika files za Invisible. Habari zaidi zimebaini...

Klorokwini - Ndo Speaker Mkuu wa Bunge la Tanzania.

WoS - Ni Irene Uwoya

Sijui ni nini - Dogo njaja

Ngoja nikimbie kidogo naona mlango unagongwa kwa fujo... Hapa dawa ni ku log off!:bolt:
 
hahahaa..ndo nimeinyaka saiz, kumbe Ashadii ni Hadija Kopa?! Lol..
 
Kweli JF inatisha. Kuna ladha za kila aina.Hata udaku pia?
Nimecheka sana leo.Aliyetia fora ni Rejao na TF hahahha.....
mbona mmeonewa sana kwenye kupakaziwa wapendwa?
tunajipanga...tunakuja na mikakati mipya!! Inabidi mi na TF tujipange mapema ili tuwakabili wote waliotuzushia!!!!
 
Lile kundi la wana si hasa waliovamia chit chat wafurumushwa na FFU ikiongozwa na Kongosho. Mwanyekiti la kkundi hilo Bwana Rejao kalala rumande baada ya wenzie kutimua mbio na kumwacha peke yake.

tunajipanga...tunakuja na mikakati mipya!! Inabidi mi na TF tujipange mapema ili tuwakabili wote waliotuzushia!!!!
 
KONGOSHO akiwa amejipumzisha

kongosho.jpg
 
Ha ha ha, sasa nanii mbona hamna afu kwani mi mwanamme?
Ujue The Finest akikuta umeweka picha yake hapa atakuua.
Watu wengi sana huwa wanaquestion jinsia yako. Upo fresh sana kwenye kuplay roles zote. saa nyingine unaact as man, saa nyingine unaact as a lady. Mi nimeona nikupotray as a man!!
 
Ujue jinsia yangu hata mie huwa inanitatiza sana. Kuwa shemale sio kazi ndogo inasumbua imagine nina wigi kichwani afu nina ndevu.
Nina manyonyo afu nina love garden kifua chote hadi tumbo.

Angalia hii comment hapa nimeeibua kulee kwa yule anayejisifia kwa viwili mfululizo
Thanx bro Kongosho....hiyo sio mipasho kaka ndo facts zenyewe hizo c tunayaona kwenye coitus interuptus mtu ana m-condemn mkewe kumbe daaaaah....hata sisimizi hawasogelei banaaa.......I mean hata shombo tu hakunaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom