Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Mzee Mwanakijiji kugombea uenyekiti wa kijiji... atoa onyo kwa atakayechukua fomu kupingana naye atashunswa busha
 
TUmemua kuanza na skendo yako ndogo, timu ya waandishi imetua na full file lako hapa data zinachambuliwa, subiri kuanzia toleo lijalo zitaanza kufukunyuiwa moja baada ya nyingine
 
pole na kuachika!Kaizer bana hata wake za watu hawaogopi,lol!

hahahah...bishanga bana....could it be kwamba kuna watu wanasubiria kama fisi anavosubiria mkono wa binadamu udondoke? watasibiri sana lol

Khaaa!!! (B' sema wajua Kaizer hayupo unajua sina jinsi ya kujitetea... I am counting days he will be back na atawakilisa) Mkataba wa ndoa yetu unaisha tarehe 29 december this month. lol

I back sweetie...huu ni UDAKU na upo kwenye UDAKU so utabaki kuwa UDAKU...lol:hug::hug:
 
hahahah...bishanga bana....could it be kwamba kuna watu wanasubiria kama fisi anavosubiria mkono wa binadamu udondoke? watasibiri sana lol



I back sweetie...huu ni UDAKU na upo kwenye UDAKU so utabaki kuwa UDAKU...lol:hug::hug:

danganyaneni!
Lisemwalo????
 
muulize theboss alidate naye,
baada ya date theboss alipotea humu jamvini kama wiki moja nzima,
karudi mpole kama amenyeshewa mvua.
TB na maujanja yake yote alikamatika? lol basi Kongosho yupo vema!
 
imebainika:
baada ya Aspirin kurusha 'sisi wanaume bana' Mama Matesha alimbamba na hiyo post,apigwa marufuku na mkewe kuingia jf,yeye adai no sweat si 'ze utamu' ipo bana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom