Too late brother, ulichelewa kuamka, nini? :eyebrows:Nyie watu hapo juu....
Mkifika post ya 999 mtulize mzuka.....
ODM anataka kupost post ya 1000. Atakayeipost atahamishiwa kikojoleo chake kwenye paji lake la uso. nyambaf
Dah!!!! yaani mimi nimepiga kambi hapa toka saa 11 halafu unanipiga bao hivi hivi!! hapa sikubali...lazima nilipize tu!!Roulette avizia post la 1000, na alipata!😛oa
Teh Teh Teh umechemsha....Nyie watu hapo juu....
Mkifika post ya 999 mtulize mzuka.....
ODM anataka kupost post ya 1000. Atakayeipost atahamishiwa kikojoleo chake kwenye paji lake la uso. nyambaf kuna kidudumtu kimeshaniwahi..... khaa!
Watu wengine bana.... mibange ishawaharibu:hat:Teh Teh Teh umechemsha....
Nakata rufaa aisee...na mimi nimeisubiri sana hiyo post ya 1000, nashanga nimeikosa kwenye dk za majeruhiNyie watu hapo juu....
Mkifika post ya 999 mtulize mzuka.....
ODM anataka kupost post ya 1000. Atakayeipost atahamishiwa kikojoleo chake kwenye paji lake la uso. nyambaf kuna kidudumtu kimeshaniwahi..... khaa!
Bangi tamu sana...tukutane kwenye post ya 2000...:lol:Watu wengine bana.... mibange ishawaharibu:hat:
Huko gazeti halifiki...lazima litafungiwa soonBangi tamu sana...tukutane kwenye post ya 2000...:lol:
Likifika huko lazima liingie Guinness World Book Of RecordsHuko gazeti halifiki...lazima litafungiwa soon
Bangi tamu sana...tukutane kwenye post ya 2000...:lol:
Huko gazeti halifiki...lazima litafungiwa soon
kitu cha kimombo tena?? mi ndio sintaigusa kabisa hiyo sredi. Labda nipate laga za kutosha!Gazeti lishapunguza mashiko.....
Labda lianzishwe la kimombo....
Nahisi wachangiaji watakuwa wachache..... ntemendea posti ya 50.
usijali dia...Asprin na TF wananilinda!!jtatu njema jamani nitawacheki badae loh mbavu zangu mie rejao take care baby
Ulinzi shirikishi rejao jamii....usijali dia...Asprin na TF wananilinda!!
babu subiri, waandishi wako machimboni, wakiibuka huko, kuna vitu moto moto vinakujaGazeti lishapunguza mashiko.....
Labda lianzishwe la kimombo....
Nahisi wachangiaji watakuwa wachache..... ntemendea posti ya 50.
we unacheza na kongosho ninimuulize theboss alidate naye,
baada ya date theboss alipotea humu jamvini kama wiki moja nzima,
karudi mpole kama amenyeshewa mvua.
we unacheza na kongosho nini
tatizo hi hili,
je ni 'ke' au 'me'
theboss naye yuko kimya.
TheFinest naye alikuwa anajikonga konga sijui kaishia wapi.