Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Mie mbona naona havichekeshi sana au sabab suwafaham memberz?
Ili kuweza kukusoma zaidi lawyer anahitaji ufafanuzi:

Umepigwa kibuti karibuni? manake side effect ya kibuti hata ukipelekwa peponi hautocheka.
 
Hivi kumbe yale mananasi unayouza pale kariakoo huwa unayachukua UN eeh?
The finest aka Nanasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!! LOL nanasi.jpg
 
kwani wewe unachekesha??

Its all about chemistry and understanding.............. feel the beat


Zipo ambazo zimenichekesha ila nimeona maoni ya membaz wengi kua wamecheka saana hio imenifanya nisikie kuna kitu nakosa. Hata hivo you can judge me its ok.
 
Katika definition hiyo sikuwa najua Mkuu.

Ila tafuta bonfo Fleva ya wazenji inaitwa "Vifuu Tundu" utagundua kuwa zaidi ya maana hiyo ni "Wazushi wa Maneno"
superman............ it all boils down to a jack-ass

think about it!!!jakass.jpg
 
Haiwezekani kujua hivi hivi lazima ulisoma bandiko langu la kutendwa.
Hiyo ni advertise tu, ukiwa na kesi au skendo yoyote JF mimi ndo faifu star lawyer. Nikiangalia post ya member tu naweza kugundua kama ana ujauzito au hana kizazi (kama memba ni mdada).
 
Hiyo ni advertise tu, ukiwa na kesi au skendo yoyote JF mimi ndo faifu star lawyer. Nikiangalia post ya member tu naweza kugundua kama ana ujauzito au hana kizazi (kama memba ni mdada).


Hii sasa imenifanya nicheke! haufai yaelekea wee ni wa kukikimbia kama ukoma.
 
mpango wa jf udaku kuanzisha shindano la vipaji vya muziki jf bss umegonga mwamba baada tu ya majaji kutajwa....
majaji hao ni lizzy,faizafoxy,na eliza wa tegeta......ambapo wasanii wamesema hawaoni ni vipi watapita
kwani majaji wote ni 'wanoko kupita kiasi'....na wanapenda 'kushushua wasanii wachanga'lol
Hahahahahah. . .. Boss una bahati kichwa kinaniuma leo.
 
Zipo ambazo zimenichekesha ila nimeona maoni ya membaz wengi kua wamecheka saana hio imenifanya nisikie kuna kitu nakosa. Hata hivo you can judge me its ok.
weye sasa wanchokoza.............. haya shauri yako

muone kwanza kifuu tundu mkubwa we
 
Hahahahaha c'mon guys.....scared of my name???....,

mysteryman aja juu, ni baada ya waandishi wa JF udaku kumbania. Awashangaa kwa nini awauzi nyago lake gazetini. Adai ni chuki binafsi zinawasumbua.

 
Hii sasa imenifanya nicheke! haufai yaelekea wee ni wa kukikimbia kama ukoma.
Si unaona nachelewa kujibu posts? Niko na waifu wa mheshimiwa flani serikalini PM anaomba nismamie kesi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom