The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Mhhhh!mimi nipo namuwakilisha.
Mhhhh!mimi nipo namuwakilisha.
Mhhhh!
Hahaha,wewe utakuwa unanijua tu. Nalog offWashawasha abambwa kwa doctor akitaka afanyiwe upasuaji wa kumwongezea urefu, habari kamili uk 7.
Hahaha! Sasa umeninunulia stili waya ya sh 50 kweli ulitegemea nitakatishe masufuria yote yale?.. Nisamehe ntakuja kuyasugua tena kesho, si umeona bado sijayarudisha stoo?
Gazeti la Udaku JF lapoteza umaarufu gafla! Ni baada ya scendo nyingi kuonekana hazina kichwa wala miguu. Mwanzilishi TANMO alalama. Asema anamwachia mungu.
Khaaa! Huyu TF sasa amezidi, uma na kisu alichukua yeye, tukamsamehe manake ni swahiba....haijatosha kasepa na Tsh 950!!!....na itakuwa alienda kununulia kiroba...dawa yake ipo jikoni inachemka...Finest na Tall watakuwa walikula njama wakaiba maana niliwapa buku moja wanunue kama walikupa ya 50 watakuwa wamegawana nauli
SKENDO NZITO YAFICHUK,REJAO AFUNGUA DANGURO "MULTIPAPASI" kwa siri kubwa: yadaiwa litakuwa linatoa huduma za kila aina..wanawake,wanaume,mashoga na wasagaji! Pia yasemekama wamo vinara wa jf ambao ni watoa huduma maalum..the finest,lizzy,husninyo,kongosho na klorokwini watajwa ni watoa huduma waliobobea ingawa hazijatajwa ni huduma gan kila mmoja anatoa..inasemekana wafadhili wake ni the boss na mzee..chakushangaza simu zao zote hazipatikani mara tu ya jf udaku kuzinyaka habari hizi...habari kamili uk. 25,653.
hahaahahah......lol :lol: kongosho unakimbia kutoa huduma maalum!!!Inasemekana huduma itakayotolewa na magwiji hao wa jf ni ya kuwashauri wamiliki hawa kufunga ndanguro hilo na kuwasaidia kwa recreation program
hahaahahah......lol :lol: kongosho unakimbia kutoa huduma maalum!!!
hahahaaaa...naona katumia mbinu za kujasusi kuzima skendo...daah..!!hahaahahah......lol :lol: kongosho unakimbia kutoa huduma maalum!!!
MTM unahatarisha ndoa yangu, wife anajua ID yangu na huwa anachunguliaga JF akiifuma post yako nitakuwa taabuni na ole itakuwa juu ya Maria Roza maana itakula pande zote, kwa mumewe na kwa mke wanguIbrah afunguka:
Aelezea kwanini bado yupo na Maria Roza,
aizidi kuweka wazi furaha ya penzi hasa wanapoamua kufanya vitu vyao kwenye fukwe na vituo vya daladala,
Ashangaa wasiomuelewa, asema suala la mavituz ni lake na hata akiamua kufanyia kwenye mataa ya ubungo ni sawa tu
Hahaha,wewe utakuwa unanijua tu. Nalog off
Wananichakachua hawa hawajui kuna mtumishi humu