sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Umefikaje jf? Niliambiwa na Husninyo mnakesha uwanja wa Taifa?... Nilikuona meza kuu pembeni ya mzee mkubwa umepigilia suruali ya kitambaa rangi ya njano na shati la kijani, miguuni umepiga raba nyekundu....miwani ya bluu...lolKhaaaaaaaa!
Mr.Rocky atanisaidia kuthibitisha kwa kutuwekea japo picha moja.
