sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Mwambie kabisa honey asifikiri na wewe ni mwanaume suruali ati..lolNa bado, atanenepa mpaka meno, sisi ndo ma lonado di caprio wa bongo bana
Mwambie kabisa honey asifikiri na wewe ni mwanaume suruali ati..lolNa bado, atanenepa mpaka meno, sisi ndo ma lonado di caprio wa bongo bana
my dear huko ulipo ni balaa. Imekuwaje tena, hata hatujamaliza mambo yamekorofisha. Halafu! Huku kuna radi hadi naogopa.
Ha ha ha ha mweeehhh
Mie hizi siziwezi nasoma na kucheka tu kha??
hehe ibuka na ID mpya jibaba, mimi majuzi niliingia na ID flani mpya na nikatoka na album ya natafta waifu, nilishangaa wadada kibao maselebriti wa JF walileta ma CV yao tena kwa mapoz.
JF bana
Kamanda salama kabisa...dah watu wameniandama na skendo kibao kweli hii sredi itabidi nipeleke polisi waandishi wote wa udaku...
Huku mbona shwari kabisa ila joto tu ndo jingi
Kwako ndo network shida ngoja nitatry later
Umeona eeeh!
Nasifu ubunifu wa TANMO katika thread hii maana ni burudani tosha.
Yaani TF akaoge maji ya chem chem yatokayo mlima kilimanjaro manake wadada wote wamemkimbia....Umefanya uamuzi wa busara sana kuachana na ze finest, mtaji wake wa kuku umevamiwa na mafua ya kuku, sasa anaishi mjini kwa mikopo tu
polee, kuhusu joto hebu ingia kwenye jokofu upate kaubaridi. Huku mvua na radi wangu. Baridi kali balaa.
Kamanda Juba nasikia umeoa mtoto wa Salva KirHaaaa haaaa lakini naona unakomaa nao Mkuu.
Niko kwa taifa jipya huku Juba napiga umachinga. Sikukuu imenipita sana. Anyway ngoja nimtafute TANMO tulianzishe tena JF Competition 2011 kabla mwaka haujaisha. last year watu walipata vitita hapa.
Unaniangusha jokofu tena wakati air condition zipo???
Khaaa!!! Ndio nini kumwaibisha mume mtarajiwa mbele ya kadamnasi??.... Ungemtumia PM kwa heshima yangu na yake kama lawyer wenu hapa jf.....Shindwa na ulegee katika jina la Yesu
Khaaaaaaaa!Yaani TF akaoge maji ya chem chem yatokayo mlima kilimanjaro manake wadada wote wamemkimbia....
kama vipi honey tumchukue awe mlinzi wetu hapa nyumbani, anatia huruma sana hebu mfikirie...
jokofu ndio zuri. Ukitoka humo husikii joto mwezi mzima.
Source:daktari bingwa wa jf jina kapuni hadi ajitokeze.
Ugomvi mkubwa umezuka baina ya Sweetlady kushindwa kurudisha kufuli za Lizzy alizoazima kwenda kwenye kidate na Finest. Sweet lady avunjwa meno mawili. Kwa sasa anaugulia maumivu hospitali moja tandale kwa mtogoleHabari zilizotufikia hivi punde zinasema lile bepari la kihaya lijulikanalo kwa jina la Bishanga a.k.a baba ya totozi na gesti za uchochoroni ameamua kumpokea yesu....tukio hilo limetokea katika kanisa mchungaji maarufu wa jf anaejulikana kwa jina la Masanilo...akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Bishanga amekiri kumpokea yesu na sasa yupo huru na hana tena minyororo ya dhambi...
Wakati huo huo Asprin afikishwa kituo kikuu cha polisi, hii ni baada ya Kaizer kumfuma akiwa chumbani kwake na mkewe Ashadii haikuweza kufahamika mara moja walikuwa wanafanya nini...mwandishi wetu Lizzy yupo njiani kuelekea kituo cha polisi kwa habari zaidi....
Arusha: Mr. Rocky akamatwa maeneo ya mtaa wa bondeni akiwa na kg 10 za mirungi pamoja na misokoto 20 ya bange haya yamesemwa na mwandishi wetu Paka Jimmy kwa habari zaidi fungua uk 11....
Khaaa!!! Ndio nini kumwaibisha mume mtarajiwa mbele ya kadamnasi??.... Ungemtumia PM kwa heshima yangu na yake kama lawyer wenu hapa jf.....
Mie mbona naona havichekeshi sana au sabab suwafaham memberz?