Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Habari nyengine ambayo imetua katika airport ya ofisi zetu alfajiri hii inapakuwa na kunyetisha kuwa yule rais wa wabeba maboksi anaetembea JF kwa jina la Nyani Ngabu amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuiba sadaka za nyumba za ibada, Rais huyo ambae hachagui kanisa wala msikiti yaani hubadilika kutokana na maslahi ameshikiliwa na polisi usiku wa juzi baada ya kukosana katika "mgawanyo" na kibaka mwenziwe anaekwenda kwa jina la Yo Yo, na bila hiana Yo Yo akaamua kumchoma mazima mwajiri wake huyo katika uporaji wa sadaka. Habari zaidi UK 7

sadaka hawaib sema amechukua
 
Husninyo azua kizaazaa!!!

Yule mwanadada Husninyo maarufu kwa kutongoza wanaume jf kisha kuwaomba vocha. Yamemkuta ya mwaka pale alipomtumia mkwewe pm ya kumtongoza. Asema amekoma wanaume wa jf.
 
Ndoa ya Husninyo na Klorokwini yagonga mwamba.

Klorokwini kashindwa kumuod Husninyo kwakuwa hana Masta kadi. Baba mkwe, Saint Ivuga asema hayupo tayari kumruhusu mwanae aolewe na muuza kahawa.
 
Breaking news:
Aspirini afumaniwa na mke wa Mtambuzi,wafurumishiana mingumi,Mtambuzi akimbizwa aga khan akiwa anapumulia mashine,kati kati ya sakata Aspirin aimba:
'sisi wanaume bana'.
 
hello babu

Hujabakiza visenene umtupie mjukuu wako? Hadi msimu unaisha.

Breaking news:
Aspirini afumaniwa na mke wa Mtambuzi,wafurumishiana mingumi,Mtambuzi akimbizwa aga khan akiwa anapumulia mashine,kati kati ya sakata Aspirin aimba:
'sisi wanaume bana'.
 
* siri imevuja.
*husninyo kaweka mambo hadhalani.
*kasema TANMO jogoo haliwiki. * "bora nimrudie x wangu japo kila siku napigwa mangumi hamna tatizo ilimradi ananifikisha" alisikika husninyo akiongea. Mia
 
hello babu

Hujabakiza visenene umtupie mjukuu wako? Hadi msimu unaisha.

Kongosho bana,senene na visiwa vya bahamas wapi na wapi? Mwenzio niko huku beach Nassau nakula bata na Eliza wa tegeta,si unajua mambo ya 'just married'?
 
Tena huko ndo wengi kweli, sijui hilo jina la Bahama ilikuwaje mkaipa Kemondo.

eliza wa Tegeta bila kumpeleka kisiwani lazima akutoroke, hata sasa mchumge sana.

Kongosho bana,senene na visiwa vya bahamas wapi na wapi? Mwenzio niko huku beach Nassau nakula bata na Eliza wa tegeta,si unajua mambo ya 'just married'?
 
Husninyo azua kizaazaa!!!

Yule mwanadada Husninyo maarufu kwa kutongoza wanaume jf kisha kuwaomba vocha. Yamemkuta ya mwaka pale alipomtumia mkwewe pm ya kumtongoza. Asema amekoma wanaume wa jf.

khaaaaaa! Skendo zingine balaa.
 
Ndoa ya Husninyo na Klorokwini yagonga mwamba.

Klorokwini kashindwa kumuod Husninyo kwakuwa hana Masta kadi. Baba mkwe, Saint Ivuga asema hayupo tayari kumruhusu mwanae aolewe na muuza kahawa.

tobaaaaa! Inasemekana mzee aliwahi kuugua kaugonjwa ka akili. Daktari bingwa mizizimikavu anadai kichaa kikimpanda mzee huwa anaongea chochote. Wote mnatahadharishwa kutosikiliza anayoongea hasa nyakati za mvua.
 
uproto alileta kipingamizi ndo mana mipango ya klorokwini ikagonga mwamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom