Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Mzee Mwanakijiji ahamia CCM,akabidhiwa kadi uwanja wa taifa leo na JK.
 
AshaDii aonekana wakiwa na FF eneo la magogoni wakisubiri kucrash gate kwa dhifa itayofanyika baada ya maonesho ya uhuru.
 
Sharobaro wa jf, The Finest aendelea kushikia rekodi ya kashfa kwa mwaka huu akiafuatiwa kwa karibu na Lulu muigizaji wa filamu za kibongo aka Lizzy.

Dah! Kumbe hili gazeti la udaku bado lipo mtaani damn linaniharibia CV yangu kitaa kudadekii
 
AshaDii aonekana wakiwa na FF eneo la magogoni wakisubiri kucrash gate kwa dhifa itayofanyika baada ya maonesho ya uhuru.

duh..ashadii leo kauza gazeti si mchezo..yasemekana copy 54,685,231,515,654 zimeuzwa leo tu sababu ya watu kufuatilia skendo zake..tehe..
 
Baada ya kimya kingi, Finest aibuka na kusema, maisha yake bila ya skendo hapati raha. Alisifu gazeti la jf.
 
hili gazeti nyoko!namtafuta mwandishi nimuhonge ili awe anatoa habari zangu hata za kashfa ili umaarufu wangu usipungue ili filamu zangu zifanye vizuri sokoni!
 
Dah! Kumbe hili gazeti la udaku bado lipo mtaani damn linaniharibia CV yangu kitaa kudadekii

The Finest avamia ofisi za Udaku JF na kushusha bonge la mkwara kwa waandishi kuwa wanamchafua. Baunsa wa ofisi MTM amtoa kwa nguvu. Mhariri mkuu bwana TANMO ajificha chini ya meza....
 
muuza mitumba amvamia ghafla The Finest.....adai hajalipwa pesa yake ya viwalo vya sikukuu.....lol
The Finest asema kuna njama za kumchafulia jina....yeye nguo za sikukuu ananunua mlimani city,sasa anashangaa sana lol
 
Sweetlady abambwa na dawa za kichina za kuongeza makalio....lol
mwenyewe asema sio zake alimnunulia shosti wake lol
 
mpango wa jf udaku kuanzisha shindano la vipaji vya muziki jf bss umegonga mwamba baada tu ya majaji kutajwa....
majaji hao ni lizzy,faizafoxy,na eliza wa tegeta......ambapo wasanii wamesema hawaoni ni vipi watapita
kwani majaji wote ni 'wanoko kupita kiasi'....na wanapenda 'kushushua wasanii wachanga'lol
 
Akifafanua undani wa tukio hilo sweetlady ameweka wazi kuwa dawa hizo aliagizwa na mke wa klorokwini wakati alipokuwa safarini nchini china..,..habari zaidi uk 9 lol.

Subirini kidogo waandishi wa gazeti wamekuja home hapa kunihoji kuhusiana na skendo hiii, wakiondoka nitatia timu gazetini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom