Mwandishi wetu alipofuatilia undani wa habari hii aligundua kuwa klorokwini hajafungua shirika la ndege kama alivyojitangaza kwenye vyombo vya habari....Klorokwini kufungua shirika la ndege la klorokwini Airways nchini Isiopia.
Habari zaidi UK wa 4
Well.... (Let me give it a try...)
Alter ID ya Eliza wa Tegeta yagundulika kua ni Mod (yasemekana ni Roulette)
Ana hasira ya kunyan'anywa mume na member wa MMU (tetesi mume mwenyewe Bujibuji)
Karen_Happuch akamatwa akiiba Bibilia ya Ms Judith - Maombi makali juu yake bado yaendelea.
Smiles, Cantalisia, Husninyo, Sweet Lady wapania Kumbaka PAW (Baada ya Paw kumpiga Ban Rejao)
Mtambuzi afumwa akibanjua na Mwanajamii1 (yasemekana Mbu kalazwa from shock) - yadaiwa Mtambuzi alisongwa huko na Bishanga wa Bashaija...
ODM alazwa baada ya kugundua kua hana uwezo tena wa kukagua wajukuu chini ya Kitovu.
Baada ya kufuatilia kwa ukaribu na JF intelligensia imegundua Mwita25 na AshaDii ni ID moja.
Kuna tetesi kua The Finest, Mr. Rocky, Vin Diesel, wamedhamiria kuokoka kwa sharti moja - Wafanikiwe kutoka na Kongosho.
Hayawi hayawi.... Hatimae yamekua Nyani Ngabu is finally in Love, Ka propose na Wedding karibia kufanyika (Best man Yoyo)
Will be back...
Sredi klozd. Mlionichafua wote jiandae kukatwa masaburi.
mpango wa husninyo kutwaa taji la miss bantu mpwawa wakwama.....
hii ni baada ya dawa za kichina alizotumia kutoleta matokeo yaliyoyatarajiwa
huku tarehe ya shindano ikizidi kukaribia lol
Husninyo akifanya show
hatimaye ile show ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa imefanyika jana,![]()
show ambayo ilimbamba sana na kuhudhuriwa na watu wengi.
Pamoja na binti huyo kufanya show pia kulikuwa na kundi lingine ilikwepo,kundi hilo lilikuwa
na wasanii wanne,Saint Ivunga,Aminata 9,Klorokwini na The Finest.
![]()
Duuuu! Nimekosa mengi. Haya mambo ya kusoma JF kwa msimu yanakufanya ukose uhondo.
Pamoja na kuwa mbali na home kipindi hiki cha sikukuu but nimechekaaaa saaaaaana.
Duuuu! Nimekosa mengi. Haya mambo ya kusoma JF kwa msimu yanakufanya ukose uhondo.
Pamoja na kuwa mbali na home kipindi hiki cha sikukuu but nimechekaaaa saaaaaana.
nyepesi nyepesi zinasema kuwa superman anaogopa wanawake hii ni baada ya kuumizwa na msichana wake wa kwanza aliyeanza nae mahusiano wakati yupo darasa la tatu. Habari kamili soma ukurasa wa 295,928,764.
Superman akiri kwamba anapata muda wa kuingia jf wakati akiwa ofcn tu kwa kutumia computer ya ofc. Aomba msaada kutoka kwa mtu yeyote yule atakayemsaidia japo ka cm ka mchina ili aweze kuenjoy jf.
Husninyo aonekana kwa kairuki akichoropoa mimba ya TF,adai TF si mwoaji.
Habari hizo ambazo zilirushwa laivu na "CNN" wetu eneo la Upanga zimekwenda mbali zaidi kusema kwamba Promota huyo ambae kabla kazi hii amekuwa akigombaniwa sana na vimwana kutokana na "wallet" yake kujaa kuliko benki ya CRDB ametoa tahadhari kwa washiriki kuwa kamwe hatokubali rushwa ya ngono kazini.Klorokwini kugeuka promota wa urembo....habari kamili uk wa 15 lol
Husninyo sasa nini bana?
Afu nagalia zile PM nilizokutumia ukanitolea nje usije ukaziweka hadharani . . . Tewe teeh