AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
ASHADII AOKOTA MAKOPO TANDALE: yadaiwa ni baada ya kupigwa juju na kaizer, kaizer ahojiwa na kusema ameamua kumpiga juju sababu ashadii anajigonga sana kwake mpaka kufikia hatua ya kujitangazia kwenye gazet hili kuwa ni mumewe..adai hajawah kuwa na uhusiano na ashadii na hiyo ndoa wamefunga lini? Anadai yeye anamchumba ake anaeitwa firstlady sasa iweje ashadii amharibie? Aapa akiendelea atamgeuza msukule kabisa...firstlady ahojiwa na kusema hataki hata kumsikia mtu anaeitwa ashadii..
:frusty: AshaDii kwa hasira akimbia udaku na kumaka "bahati yake Sijui nini Sweetie hayupo" na kwa hasira :smash: