Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Well.... (Let me give it a try...)

Alter ID ya Eliza wa Tegeta yagundulika kua ni Mod (yasemekana ni Roulette)
Ana hasira ya kunyan'anywa mume na member wa MMU (tetesi mume mwenyewe Bujibuji)

Karen_Happuch akamatwa akiiba Bibilia ya Ms Judith - Maombi makali juu yake bado yaendelea.

Smiles, Cantalisia, Husninyo, Sweet Lady wapania Kumbaka PAW (Baada ya Paw kumpiga Ban Rejao)

Mtambuzi afumwa akibanjua na Mwanajamii1 (yasemekana Mbu kalazwa from shock) - yadaiwa Mtambuzi alisongwa huko na Bishanga wa Bashaija...

ODM alazwa baada ya kugundua kua hana uwezo tena wa kukagua wajukuu chini ya Kitovu.

Baada ya kufuatilia kwa ukaribu na JF intelligensia imegundua Mwita25 na AshaDii ni ID moja.

Kuna tetesi kua The Finest, Mr. Rocky, Vin Diesel, wamedhamiria kuokoka kwa sharti moja - Wafanikiwe kutoka na Kongosho.

Hayawi hayawi.... Hatimae yamekua Nyani Ngabu is finally in Love, Ka propose na Wedding karibia kufanyika (Best man Yoyo)


Will be back...
 
Utafiti zaidi ulofanyiwa na waandishi wetu wa habari waripoti kua Mbu ndie mfadhili namba moja wa gazeti la JF udaku na kwamba atishia kukata sponsorship iwapo MTM atashindwa kuwashawishi members kutoa kichwa kinacho muhusu in the next 5 post, jambo ambalo limemfanya MTM kumtaja mfadhili wake kila post! hahahaha

LOLZZZZZ.
Mkongwe mmoja wa JF (jina kapuni kwa woga wa ban) akamatwa akiiba sigara aina ya nyota kwa sindano aliyounganisha na mti. Mwenye duka aahidi kumfikisha kortini.
 
Amini usiamini! The Boss Aukata
  • Denzel Washington akiri ni mwanae,
  • Alikutana na mzazi mwenzia kampala akicheza Mississipi masala
  • Amnunulilia the boss "mjengo" wa nguvu ndege beach
  • Kuja kumsalimia na kufahamiana naye Dec 9 2011
Mafisadi wa elimu waanikwa: Ni Mupirocin, Russian Roullette, mziziz mkavu na dr. Riwa
  • Wawili wagundulika kupata ziro form 4
  • mmoja alikuwa msaidizi wa dokta ndodiehemu
  • Mmoja akiri kutumia vyeti vya kufoji
Nitatoa explanation kwa Admin peke yao, wengine hamnijui, siwajui. Kama vipi nipotezeeni. lol
 
Ukimsoma Tanmo anavyoweka vichwa vya habari lazima ucheke.......... lazima atakua na taaluma au kipaji cha uandishi, tena si ajabu wa magazeti yetu

this should be a sticky thread aisee

Mbu yuko wapi?



Alafu what makes it more hillarious... Ukisoma first post ya Tanmo na ukiangalia katoto kale kwenye Avatar as if sie....lol
 
Well.... (Let me give it a try...)

Alter ID ya Eliza wa Tegeta yagundulika kua ni Mod (yasemekana ni Roulette)
Ana hasira ya kunyan'anywa mume na member wa MMU (tetesi mume mwenyewe Bujibuji)

Karen_Happuch akamatwa akiiba Bibilia ya Ms Judith - Maombi makali juu yake bado yaendelea.

Smiles, Cantalisia, Husninyo, Sweet Lady wapania Kumbaka PAW (Baada ya Paw kumpiga Ban Rejao)

Mtambuzi afumwa akibanjua na Mwanajamii1 (yasemekana Mbu kalazwa from shock) - yadaiwa Mtambuzi alisongwa huko na Bishanga wa Bashaija...

ODM alazwa baada ya kugundua kua hana uwezo tena wa kukagua wajukuu chini ya Kitovu.

Baada ya kufuatilia kwa ukaribu na JF intelligensia imegundua Mwita25 na AshaDii ni ID moja.

Kuna tetesi kua The Finest, Mr. Rocky, Vin Diesel, wamedhamiria kuokoka kwa sharti moja - Wafanikiwe kutoka na Kongosho.

Hayawi hayawi.... Hatimae yamekua Nyani Ngabu is finally in Love, Ka propose na Wedding karibia kufanyika (Best man Yoyo)


Will be back...

Hahaha! Nitarudi mbavu zangu zinaweza kupasuka...
 
Babu DC afikishw kortini, pikipiki yake yasemekana ni ya wizi

alimdhulumu Maskin Jeuri
maskini jeuri aapa kula naye sahani moja.
 
Jamani nimegonga like ya mdomo mara mbili niko via mobile


Kongosho akana tuhuma za kumuingiza mod mjini, agonga like kwa maneno na si kwa vitendo

RR aingizwa mjini, kiboko yake yagundulika ni Kongosho.Aaahidi kumkomesha Mods wengine wakiwa likizo.
 
Jamani nimegonga like ya mdomo mara mbili niko via mobile


Kongosho akana tuhuma za kumuingiza mod mjini, agonga like kwa maneno na si kwa vitendo
Kongosha akanusha madai tuliyoletewa na RR.Asema kwamba alichoahidi ni LIKE bila kusema ni ya mdomo au kugonga. Moto wawaka , kila mmoja amwita mwenzake mzushi.
 
MTM aumbuka; aliyeiba laptop yake ajitokeza
  • Ni Changudoa, adai liichukua kufidia ujira wake
  • MTM ang'aka kwenye simu, atishia kumtoa uhai mwandishi wa JF Udaku
Hahahahahha

KMM afunguka kuhusu kesi yake ya wizi.Asema kuku anaedaiwa kuiba aliingia ndani kwake mwenyewe. Jirani mwenye kuku ang'aka, ataka manyoya ya kuku wake kipenzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom