Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Hayawi hayawi yamekua, RussianRoulette avuliwa uMOD baada ya kugundulika kupiga ban wale wasiompa LIKE.Invisible anena, asema watakua waangalifu katika uchaguzi ujao.
Hahahahaha, Lizzy acha hivo, maana kweli swali la kutopewa like liko moyoni muda mrefu. hahaha
 
Katika harakati za kufurahisha vimwana Klorokwini aweka nyumba rehani. Mkewe aja juu, adai kuna mtu anamchezea mumewe.Apanga safari ya Sumbawanga.
 
Mwandishi wa UdakuJF anaekwenda kwa jinala TANMO aumbuka. Ni baada ya kutaka kumhonga rafikiye Lizzy pesa ili amuuzie skendo, hakujua Lizzy alikua akirekodi maongezi yao.

Lizzy akutwa na hirizi kwenye handbag yake: akiri alitaka kumteka kimapenzi The Finest,
The finest aendelea kujificha kukwepa kipigo kutoka kwa mkewe wa ndoa,
Lizzy amtaka ajitokeze kisha atamlinda dhidi ya mkewe ambaye ni Bondia mstaafu
 
Masupastaa wa JF wapigana vikumbo ofisini mwa gazeti la JF Udaku wakitaka kujiosha...wamo the finest,lizzy,husninyo...yadaiwa ndo wanaoongoza kwa skendo za kufumaniwa JF...TANMO aonekana kwa mganga..
 
Hahahahaha, Lizzy acha hivo, maana kweli swali la kutopewa like liko moyoni muda mrefu. hahaha

Hahahahha.Pole mpenzi, ngoja Invi atuwekee kwa mobile.

RR akubali kupenda sana LIKE, asema ndo sababu pekee iliyomfanya atake kuwa MOD.
 
TANMO, Ritz, Sijui nini, Lizzy, Husninyo aisee ngoja kwanza nitoke kwenye hii thread kwa muda almanusura nianguke kutoka kwenye kiti kwasababu ya kucheka hizi skendo na udaku...nyie watu hamna adabu kabisa...lol
 
Mambo hazarani: Hatimae Lizzy athibitisha kuwa anatoka kimapenzi na klorokwini, Sweetlady aamua kumeza panadol sita kujiuwa
 
TANMO, Ritz, Sijui nini, Lizzy, Husninyo aisee ngoja kwanza nitoke kwenye hii thread kwa muda almanusura nianguke kutoka kwenye kiti kwasababu ya kucheka hizi skendo na udaku...nyie watu hamna adabu kabisa...lol

hahahaha! Mi mwenyewe nasepa. Nimegundua kadri unavyoendelea kung'aa sharubu ndio unavyozidi kujiongezea skendo.
 
Sijui nini agundulika kuwa na ID zaidi ya moja, ni baada ya kujifungulia thread na kuchanganya ID zake.

Husninyo afukuzwa kazi, mwenyewe adai bossi wake ambae ni mwanamke anamwonea wivu kwa kupendwa sana na vijana kazini.Aonyesha ushahidi wa vocha wanazomtumia.
 
We embu tulia hapo, alafu chungulia jiimeli.
 
hahahaha! Mi mwenyewe nasepa. Nimegundua kadri unavyoendelea kung'aa sharubu ndio unavyozidi kujiongezea skendo.

MAKUBWA: supastaa wa jf atoweka ni Husninyo..yadaiwa yupo kwa mganga akisafisha nyota...
 
Sijui nini agundulika kuwa na ID zaidi ya moja, ni baada ya kujifungulia thread na kuchanganya ID zake.

Husninyo afukuzwa kazi, mwenyewe adai bossi wake ambae ni mwanamke anamwonea wivu kwa kupendwa sana na vijana kazini.Aonyesha ushahidi wa vocha wanazomtumia.

MASKINII... Lizzy aonekana mbagala akiokota makopo...yadaiwa amepigwa juju na husninyo katika kugombania mume wa mtu!
 
Klorokwini amuuzia Lizzy skendo, adai wanapendana kama kumbikumbi.Lizzy akana katu katu, asema Klorokwini hana mpango.

Khaaaaaa! halaf umeskia lulu amebadilisha jina anaitwa lizzy? acha nimix na udaku wa shigongo ili inoge kidogo
 
Siri ya kipaji cha Mzizi Mkavu hazarani: mama yake adai alikua kikojozi maarufu mtaani hadi miaka 24, hali iliyo mpelekea kua mwanafunzi wa mganga alie mponya!!!
Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari wa Jf, Mzizi Mkavu akiri nakusema atatoa tamko juma pili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom