The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Aisee! Nimechngulia yaani super yaaani ile mbaya mzigo umesimama vya kutoshaWe embu tulia hapo, alafu chungulia jiimeli.
kesho tutajadili. Senki Yuu
Aisee! Nimechngulia yaani super yaaani ile mbaya mzigo umesimama vya kutoshaWe embu tulia hapo, alafu chungulia jiimeli.
Aisee! Nimechngulia yaani super yaaani ile mbaya mzigo umesimama vya kutosha
kesho tutajadili. Senki Yuu
Ngoja nilale tu..naona nikiendelea kusoma comments za hii thread kesho nitachelewa kibaruani,
Hahahaha! Umeona ehee hii thread noma kabisa nimejikuta nina skendo kibao ili TANMO auze gazeti lake..Ngoja nilale tu..naona nikiendelea kusoma comments za hii thread kesho nitachelewa kibaruani,
Yeleuwiiiii...Lizzy njoo uniokoe halafu unajua keshokutwa tunasherekea miaka 50 ya Uhuru...Ati nini??
wadada waweka mgomo wa kutojibu pms za klorokwini baada ya kugundua wanaambiwa yaleyale. Klorokwini apoteza hamu na jf.
MASKINII... Lizzy aonekana mbagala akiokota makopo...yadaiwa amepigwa juju na husninyo katika kugombania mume wa mtu!
Yeleuwiiiii...Lizzy njoo uniokoe halafu unajua keshokutwa tunasherekea miaka 50 ya Uhuru...
Hahaha! Usiwe na wasiwasi si umeona skendo za Lizzy zilivyo ngoja nicheki na TANMO kama ana skendo zake zingine tuone tunafanya nini....ila usije ukatua airport na sime mkononi...lolkwa sasa wewe na huyo mchuro wako Lizzy siwataki ..
Tabia ya kuringishiana mi siwezi. Mkinisema tu huko majuu
nta sikia na ole wenu na sema ole wenu mtaniona airport.. :crutch:
Eliza wa Tegeta agundulika ni Rehema wa Maneromango!
kwa sasa wewe na huyo mchuro wako Lizzy siwataki ..
Tabia ya kuringishiana mi siwezi. Mkinisema tu huko majuu
nta sikia na ole wenu na sema ole wenu mtaniona airport.. :crutch:
Afrodenzi akutwa akitoboa tairi za gari ya Lizzy, adai hawezi kua na rafiki asie loyal kwake.
Alafu we kichwa embu njoo hapa kwenye huu uchochoro wa PM, kuna mtu anasutwa.
Hahaha! Usiwe na wasiwasi si umeona skendo za Lizzy zilivyo ngoja nicheki na TANMO kama ana skendo zake zingine tuone tunafanya nini....ila usije ukatua airport na sime mkononi...lol
si skendo ni ukweli tupu..
Jana kaniringishia sana kuhusu kule mahali ..
anajua napapenda sana na ninatamani kuja ndo maana
kanani tambishia na we unam support . Nimewachukia wote wawili.
Kila nikisoma hii thread niishia kucheka nashindwa hata kuchangia
Haya basi twende wote.
..Nani anaekuudhi jamani Mamiii, hebu wasemelee kwangu Niwatandike viboko.si skendo ni ukweli tupu..
Jana kaniringishia sana kuhusu kule mahali ..
anajua napapenda sana na ninatamani kuja ndo maana
kanani tambishia na we unam support . Nimewachukia wote wawili.