afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,151
- 9,272
phd ya Klorokwini ni feki......alipewa na kile chuo cha mrema...lol
hahahahahahhahaah lol
Mbavu zangu lohhhhh
mna vituko sana ....
phd ya Klorokwini ni feki......alipewa na kile chuo cha mrema...lol
Kha! nyie mnachezea nyota sababu hamjui zinatoka wapi... fanyeni mautani yenu bila kutaja pete za kamanda :ban:siri ya u mod wa RussianRoulette 'hadharani'.....lol
Na Tanmo kaimoderate kiutu uzima, haja taja mtu hovyo, na members wamechangia kwa kuwataja members who were there (except me, nilisema vile vyako vya kua mwanaume. lol)This Thread Alter.... Deserves to be JF Thread of the year in Jokes... Believe me you it's Fantastic! Nilikua ki MMU zaidi kumbe nimepitwa namna hii? Still reading niko page 10 thou...
Ukimsoma Tanmo anavyoweka vichwa vya habari lazima ucheke.......... lazima atakua na taaluma au kipaji cha uandishi, tena si ajabu wa magazeti yetuNa Tanmo kaimoderate kiutu uzima, haja taja mtu hovyo, na members wamechangia kwa kuwataja members who were there (except me, nilisema vile vyako vya kua mwanaume. lol)
hebu tunga na wewe kichwa cha habari tuone kama ungepata ajira JF Udaku...
Imesha stickywa mzee. Mbu hata mimi sijamuona... hahahaUkimsoma Tanmo anavyoweka vichwa vya habari lazima ucheke.......... lazima atakua na taaluma au kipaji cha uandishi, tena si ajabu wa magazeti yetu
this should be a sticky thread aisee
Mbu yuko wapi?
Kha! nyie mnachezea nyota sababu hamjui zinatoka wapi... fanyeni mautani yenu bila kutaja pete za kamanda :ban:
Just because it is you ila mwambie mtu wako akiwa ananitaja awe anachangia kama wewe (with lots of humor) hahahahahaNaomba nimuokoe kwa kukugongea like 2, please
lazima gazeti halitamwacha aiseeImesha stickywa mzee. Mbu hata mimi sijamuona... hahaha
Hahaha! Nilijua tu hamtamuacha cousin MTM hivi hivi tu...MTM ajifanya kushangazwa na kipaji cha TANMO. Sosi yetu ya chini ya kapeti yaeleza kiundani jinsi walivyokutana na kwamba yeye ndie mwajiri wa TANMO.
Utafiti zaidi ulofanyiwa na waandishi wetu wa habari waripoti kua Mbu ndie mfadhili namba moja wa gazeti la JF udaku na kwamba atishia kukata sponsorship iwapo MTM atashindwa kuwashawishi members kutoa kichwa kinacho muhusu in the next 5 post, jambo ambalo limemfanya MTM kumtaja mfadhili wake kila post! hahahahaMTM ajifanya kushangazwa na kipaji cha TANMO. Sosi yetu ya chini ya kapeti yaeleza kiundani jinsi walivyokutana na kwamba yeye ndie mwajiri wa TANMO.
Just because it is you ila mwambie mtu wako akiwa ananitaja awe anachangia kama wewe (with lots of humor) hahahahaha