Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

RussianRoullete aishi kwa vocha za kuomba, akimuomba vocha member wa jf na kumnyima ampa ban.
Kongosho apigwa Ban kwa kumzushia Mod. Chanzo chetu cha thibitisha kua Kongosho alikua na ushahidi tosha dhidi ya Mod huyo ila hakupewa nafasi ya kujitetea.
 
Siri ya kipaji cha Mzizi Mkavu hazarani: mama yake adai alikua kikojozi maarufu mtaani hadi miaka 24, hali iliyo mpelekea kua mwanafunzi wa mganga alie mponya!!!
Baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari wa Jf, Mzizi Mkavu akiri nakusema atatoa tamko juma pili.

Smile alia lia Mabarabarani kisa kaachwa mataa na YOYO
Baada ya kupatikana kwa sim Mzizi Mkavu akanusha kauli yake ya mwanzo: hakua kikojozi, na tamko hatoi!
 
Baada ya kuaga kwa mkewe anaenda nje ya nchi, Rejao aonekana kwa mganga maarufu Mzizi Mkavu..mganga mwenyewe akiri kuwa Rejao ni moja ya mteja wake mzuri tu..awataja wengne..wamo Klorokwini,Faiza foxy,Mia na Lizzy
Sijui nini aharibu Laptop ya Mtazamaji na apelekwa Mahakamani kwa Mkuu Moderator PAW Sijuwi nini ala BAN ya Maisha hapa J.F.
 
This thread has made my day...I was absent for so long...grinning from my head to my toes....hahah, wicked(sp) !!!

Engineer Nsiande atunukiwa phd.....sasa ni dokta engineer Nsiande....yadaiwa ni mipango ya kugombea ubunge 2015....
 
Bila kutarajia Boss ajikuta akikimbilia mafichoni. Ni baada ya mkewe wa ndoa kugundua ana nyumba ndogo na kuwasiliana nao. Walipoulizwa walisema "hatuna haja ya kugombana, huyo Boss ndo anaehitaji kufunzwa adabu".
 
Imebainika Bujibuji na Asha Babu ni wapenzi, waonekana maeneo ya Mombasa wakila maraha.
Wawakimbia paparazi wetu
 
Bila kutarajia Boss ajikuta akikimbilia mafichoni. Ni baada ya mkewe wa ndoa kugundua ana nyumba ndogo na kuwasiliana nao. Walipoulizwa walisema "hatuna haja ya kugombana, huyo Boss ndo anaehitaji kufunzwa adabu".

lizzy asakwa na wenye maduka ya nguo..,yagundulika nguo alizoazima kwa shooting ya filam yake mpya
'anasafishia jina mitaani' lol
 
lizzy asakwa na wenye maduka ya nguo..,yagundulika nguo alizoazima kwa shooting ya filam yake mpya
'anasafishia jina mitaani' lol

Lolzzzz.

Boss aumbuka, akutwa akikopa boxer kwaajili ya kidate na miss JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom