Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
Raia mwema linastahiki kufungiwa linapotosha sana
Na Tanzanite je?!
Raia mwema linastahiki kufungiwa linapotosha sana
Wewe ni NyauWewe ni bwege!
Gaidi yupo somewhere salama ananyea debe muda huuMagaidi wamecharuka kuambiwa ni magaidi🤣🤣🤣
Mwariri alitakiwa kuandika hamza ni jini lililo toroka kutoka upinzani labda wangemwelewa lkn amebugi alivyonyooosha mandishi.anyway nazinguaView attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
Kwani hakuwa means CCM?Raia mwema linastahiki kufungiwa linapotosha sana
Limestahili kufungua. Linafanya mambo siyo tu kinyume na uweledi wa uandishi wa habari lakini pia mambo ya kitoto, uvivu na ujinga. Walistahili kufungiwa japo miezi 6View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
kumekucha............................mambo ya uhuru wa maoni ni magumu sana
Utawala uliofitinika,watanzania/watanganyika amkeni kutoka usingizini,tumerudi awamu tanguliazi,ama kwa kujua au Bila kujua.Uvujifu wa karina wa viwango vile umerudi rasmi, siku mia za utawala mpya zilikuwa danganya toto, mambo no yaleyale, viroba, poteza poteza, teka, bambikia zamani vilishaanza. Tutarajie washawasha nyingi kuongezwa na kusakwa wa mitandaoni na kunysmazishwa nawazo huru ya mmoja mmoja. Jipangeni kiakili yaoi mita chache kuwafikia.kumekucha............................mambo ya uhuru wa maoni ni magumu sana
Acha upumbavu, usituletee weledi mpya wakipumbavu, wa kitanzania wa walafi wachache.hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
Acha urongo, mama anaupiga mwingi mnoHuyu Mama tumepigwa mazee,
Acha upumbavu, usituletee weledi mpya wakipumbavu, wa kitanzania wa walafi wachache.
Vipi wale akili badala ya kukua inaoza na wao unawasaidiaje/unajisaidiaje?vumilia mdogo wangu mpaka pale utakapokua kiakili
Na hii ndiyo Tanzania na weledi wake wa kisasa.Waweza uita weledi wa Wakitanzania.Hii ndio CCM!
Ccm wamkana hamz haya ni maajabuView attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30
View attachment 1925070View attachment 1925071
Hatimae watajikana hata wao wenyewe.Ccm wamkana hamz haya ni maajabu