Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

Hata mlifungie gazeti tushajua tushajua Hamza na CCM lenu moja sema tu Hamza alikosea mchoro mliompa ili mumuunganishe na Mbowe - ha ha ha
 
kumekucha............................mambo ya uhuru wa maoni ni magumu sana

hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
 
kweli hili gazeti limekuwa na Uchochezi mbaya sana kati ya wananchi na Serikali.
lilipaswa lifutwe kabisaa sio kufungiwa tu.
wakati mwengine lifutwe
lisituchafulie nchi yetu.
Hili Gazeti la Gaidi namba moja Tanzania.
 
kumekucha............................mambo ya uhuru wa maoni ni magumu sana
Utawala uliofitinika,watanzania/watanganyika amkeni kutoka usingizini,tumerudi awamu tanguliazi,ama kwa kujua au Bila kujua.Uvujifu wa karina wa viwango vile umerudi rasmi, siku mia za utawala mpya zilikuwa danganya toto, mambo no yaleyale, viroba, poteza poteza, teka, bambikia zamani vilishaanza. Tutarajie washawasha nyingi kuongezwa na kusakwa wa mitandaoni na kunysmazishwa nawazo huru ya mmoja mmoja. Jipangeni kiakili yaoi mita chache kuwafikia.
 
hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
Acha upumbavu, usituletee weledi mpya wakipumbavu, wa kitanzania wa walafi wachache.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom