Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
55,318
2,000
Kwani ni uongo! Hamza si alikua kada na mjumbe wa CCM Ilala na alimnadi Marehemu Mzee Pombe kwenye uchafuzi wa 2020.
Haya hapo kwenye tozo 17 mpya kwani ni uongo hamjaleta tozo hizo! kama mnaona habari ya tozo ambayo ni ya kweli eti inawagombanisha kwani mnakusanya sasa hizo tozo, si muache ili msigombanishwe na hao raiya.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
18,404
2,000
Jamani hili swali sio ujinga, Hivi mwenye mamlaka ya kufungia ni Waziri tu hata Msigwa ana mamlaka yakufungia. Mimi ndio mara ya kwanza kuona nje ya waziri mtu kuwa na madaraka. Nauliza tu jamani sababu ukweli sijui.
Kakuwekea na vifungu kwenye tamko lake ila bado hujaelewa
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,041
2,000
Hata gazeti la Uhuru lilifungiwa, vumilieni
IMG_20210904_073839.jpg
 
residentura

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,358
2,000
hakuna cha uhuru wa maoni apo, lengo zima la hilo gazeti lnajulikana pamoja na jenerali mwenyewe! ni mkorofi sana na anajua kabisa yupo tanzania kwa huruma ya serikali, anatakiwa kurudishwa nchini kwake
Kwa hiyo unakiri kuwa CCM ni chama cha hovyo!!??.
Jenerali Twaha Ulimwengu alipewa ukuu wa Wilaya na viongozi wa CCM.
Maana yake viongozi wa CCM ni hamnazo.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,746
2,000
Mnataka katiba mpya ili ichekelee upuuzi kama huo wa hilo gazeti? Hivyo vichwa vyao vya habari unaona vipo sahihi? Kwa nia yenu hii ovu ya kutaka katiba mpya basi hamtokuja ipata, nchi lazima iwe na nidhamu na njia zake za kujiendesha! Huo upuuzi wenu tafuteni nchi nyingine mkaufanye! Mother endelea kuchapa hawa wajasiriasiasa waliopoteana kwa sasa
Hili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?
 
Magobe T

JF-Expert Member
Mar 19, 2008
4,038
2,000
View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30

View attachment 1925070 View attachment 1925071
1. Naomba kuelimishwa kuhusu sheria zetu zinasemaje inapotokea mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) inapotoa uamuzi kwamba vifungu kadhaa vya the Media Services Act, 2016 (R.E 2019) vinakiuka masharti ya Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ambao Tanzania imeridhia kutumika kama sehemu ya sheria tunazotakiwa kuziheshimu na kuzitekeleza.
2. Ukisoma hukumu ya EACJ kati ya MCT, LHRC & Defenders Coalition v AG of Tanzania iliyotolewa Machi 28, 2019, utaona baadhi ya vifungu ambavyo mahakama iliagiza serikali ya Tanzania kuviondoa kwenye the Media Services Act, 2016 (R.E 2019).
3. Sijui kama serikali ya Tanzania ilikata rufaa na kushinda kesi hii au la.
4. Ifuatayo hapa chini ni sehemu ya hiyo hukumu:
1630866286990.png

1630865524113.png
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
13,851
2,000
View attachment 1925131
Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30

View attachment 1925070 View attachment 1925071

Uhuru ilikuwa siku 14. Kwanini hili 30?

Hao waliokuwa wanapata riziki zao kupitia gazeti hili na wategemezi wao wanakula wapi?

Adhabu hizi ni kama za kumfungia dereva wa basi leseni. Akale wapi yeye na wanaomtegemea?

Waajiriwa serikalini wanaufahamu duni sana kuhusiana na haki za msingi za watu wakiwamo dependants wao.

Katiba mpya itapaswa pia kuangazia haki za wahanga kama hawa dhidi ya umbumbu wa watendaji serikalini.
 
pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
7,310
2,000
Hili ni gazeti la kufungia utumbo, akina Jenerali Ulimwengu wamebaki kuishi kwa kutegemea uongo na uzushi ,wanadhani wakiiandika vibaya serikali basi watapa wanunuaji wengi wa hicho kijarida, huyu mzee Ulimwengu sijui kwanini anakuwa na chuki na kila awamu ,alianza kwa Ben, akapoa kidogo kwa JK sababu maswahiba zake kutoka kule anakotoka yeye na ambao walikuwa wamiliki wenza wa hilo gazeti walipewa ulaji na JK, ikapita awamu ya JK akaja pia mbaya wake,huyu ugomvi wake na Ulimwengu ulianza siku nyingi na alijitahidi sana kumsiliba kwa kutumia hivyo vijarida vyake alipokuwa waziri, haya nae Mungu akamchukua tukadhani Ulimwengu na kijarida chake atatulia lakini wapi, kama anakereka si arudi tu kwao?
Kwao ni wapi kwani?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,872
2,000
Uhuru ilikuwa siku 7 Mkuu.
Uhuru ilikuwa siku 14. Kwanini hili 30?

Hao waliokuwa wanapata riziki zao kupitia gazeti hili na wategemezi wao wanakula wapi?

Adhabu hizi ni kama za kumfungia dereva wa basi leseni. Akale wapi yeye na wanaomtegemea?

Waajiriwa serikalini wanaufahamu duni sana kuhusiana na haki za msingi za watu wakiwamo dependants wao.

Katiba mpya itapaswa pia kuangazia haki za wahanga kama hawa dhidi ya umbumbu wa watendaji serikalini.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
18,564
2,000
Kwani ni uongo! Hamza si alikua kada na mjumbe wa CCM Ilala na alimnadi Marehemu Mzee Pombe kwenye uchafuzi wa 2020.
Haya hapo kwenye tozo 17 mpya kwani ni uongo hamjaleta tozo hizo! kama mnaona habari ya tozo ambayo ni ya kweli eti inawagombanisha kwani mnakusanya sasa hizo tozo, si muache ili msigombanishwe na hao raiya.
Wamechukia😅😅
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom