Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

Huna uthibitisho, hujui umeandika nini!! Basi utakua hujajitambua unachokihitaji. Huenda umelala ukaota then unakuja kutumwagia utumbo wako hapa unaondoka. Thibitisha kwanza.
 
wasomi wa kiislam mbona wapo...Kiongozi wetu wa hii nchi ni mfano mmoja wapo na tunajua jinsi gani alivyo mchapa kazi na ameleta maendeleo kwenye hii nchi...Mkuu wa Polisi nae ni muislam na tunajua jinsi gani polisi wanavyofanya kazi kwa bidii na kutetea wananchi na maslahi yao..
 
Huna uthibitisho, hujui umeandika nini!! Basi utakua hujajitambua unachokihitaji. Huenda umelala ukaota then unakuja kutumwagia utumbo wako hapa unaondoka. Thibitisha kwanza.

athibitishe au asithibitishe...uthibitosho tulionao ni kwamba uko kisiwa jirani na tanganyika kuna watu wanachoma miundo mbinu na waache huo utoto mara moja..au wachome nyumba zao wanazoishi kwanza ili kuthibitisha hasira zao. Hamumkumbuki yule kijana aliyeanzisha vugu vugu la mabadiliko MISRI, alijichoma yeye mwenyewe na si makanisa
 
na unga mkono hoja,lifungiwe. naiomba serikali imkamate na ritz kwan na yeye ni mchochezi.
 
athibitishe au asithibitishe...uthibitosho tulionao ni kwamba uko kisiwa jirani na tanganyika kuna watu wanachoma miundo mbinu na waache huo utoto mara moja..au wachome nyumba zao wanazoishi kwanza ili kuthibitisha hasira zao. Hamumkumbuki yule kijana aliyeanzisha vugu vugu la mabadiliko MISRI, alijichoma yeye mwenyewe na si makanisa

Wale waleeeee! Kwa sababu hiyo basi na Miskiti bara ifungwe hasa baada ya hili linalotokea Znz au unaonaje we we?
 
I think hilo gazeti linaendeshwa kimaslahi, wao angalio lao kubwa ni kuuza copy zao kwa waislam ambao masikini walio wengi elimu ipo chini. Akitoka masjid anakamata copy anachokisoma anaona hicho hicho hatumii na akili yake kupima. Hawa watu wanaoshika kalamu ni watu wabaya sana.
 
Ni kweli kabisa kabisa "kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu.." Bila shaka ulimaanisha au ulilenga waandishi wa u.pu.pu huu hapa chini:-

  1. "Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)"

ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?
 
Hivi mnachozozana hapa mantiki yake ni nini?? Mie nina uhakika kama leo hii mtume muhammed angelikuta na yesu kristo wangelikaa chini pamoja na kunywa chai sasa nyie wagombana nini??

Ni wakati kwa watanzania wote wakristo na waislamu kukaa pamoja na kujadili mambo ya muhimu kuliko kibishania udini.

Pia mjue uislamu uliletwa na waarabu ukristo na wazungu sisi dini zetu asilia hamzijui??
Haaahaaaaa, kuna mafundi wamenizingua hapa nilikuwa nimenuna mbaya, lkn hii post yako imenichekesha halafu imenifanya nitafakari kidogo! Ukweli ni kuwa hao wawili uliowataja wangekutana lazima Mmoja angemtoa mwingine majini na mapepo! Sababu huyo Mmoja haijawahi kutokea awe na mtu mwenye mapepo/majini na asiyatimue. Sipati picha kama wangekutana!
 
Dr Babak Sheikh. Orthapaedic Surgery.

Dr Mohamed Aden Sheikh. Surgery.

unataka wengine?
Tafadhali mkuu, unapotaja ma-Dr. bila kujali ni madr gani, usimsahau prezidaa wako Dr. jakaya mrisho khalfan kikwete...!
 
Tatizo lenu mkielezwa ukweli mnasema mnashambuliwa hata Quran imesisitiza kusoma IQRA..

Mie nakubali kabisa kuwa wakiristo Tanzania ndio wamesoma sana hapo nipo na wewe pamoja tena nawapa sifa sana.

Labda ungetusaidia kwa faida ya JF wasomi wa Tanzania wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini?

Sikupenda kuchangia hii mada lakini umenikumbusha jambo moja - hufahamu kwanini sisi bado tu masikini!! Hata JK nae alisema hafahamu.

Kutoka kwenye umasikini ni hatua ya mtu mmoja mmoja kwanza kabla ya Taifa!! Taifa lina kazi ya kuimarisha misingi ya juhudi za mtu mmoja mmoja kufanikiwa. Ni bahati mbaya kuwa waislamu wengi wanaona wameonewa na Taifa (rejea "Mfumo Kristu") badala ya kuona mafanikio ya wakristu kama ya mtu mmoja mmoja kwanza halafu kitaasisi pili!!

Dunia hii ina formula za kisayansi. Moja wapo - Survival of the Fittest. Ukiwa dhaifu, katika nyanja yoyote ile, lazima utupwe!! Hata Mungu, hashirikiani na dhaifu hasa wa kujitakia!! Kama asivoshirikiana na wenye dhambi!!
 
Kumbe kabla ya Kikwete kuwa Rais Tanzani ilikuwa nchi tajiri...hivi ile mikataba ya Migodi, Buzwagi na Nyamongo, Bandari, Geita, si wamefanya wasomi wa Kikiristo au?
Hivi kwa nini magamba wanajitahidi sana kutoitaja IPTL??? Hebu iweke hapo banaa! Au hujui kwa siku inatulamba bei gani? Kwa miaka karibia ishirini inatafuna tu halafu mnaipotezea!
 
Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?

Toa mfano wa Wizara iliyoingia mikataba ya kijinga chini ya uongozi wa Wakristo.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia zote! Lifungiwe milele!

Haiwezekani kufungiwa Al-Nuur, kwasababu wahusika mda wote wapo wanaangalia kwenye Mwana Halisi kama kuna udhaifu wowote ili lifungiwe
 
Sikupenda kuchangia hii mada lakini umenikumbusha jambo moja - hufahamu kwanini sisi bado tu masikini!! Hata JK nae alisema hafahamu.

Kutoka kwenye umasikini ni hatua ya mtu mmoja mmoja kwanza kabla ya Taifa!! Taifa lina kazi ya kuimarisha misingi ya juhudi za mtu mmoja mmoja kufanikiwa. Ni bahati mbaya kuwa waislamu wengi wanaona wameonewa na Taifa (rejea "Mfumo Kristu") badala ya kuona mafanikio ya wakristu kama ya mtu mmoja mmoja kwanza halafu kitaasisi pili!!

Dunia hii ina formula za kisayansi. Moja wapo - Survival of the Fittest. Ukiwa dhaifu, katika nyanja yoyote ile, lazima utupwe!! Hata Mungu, hashirikiani na dhaifu hasa wa kujitakia!! Kama asivoshirikiana na wenye dhambi!!

Umeandika mengi lakini mie nakujibu moja, ni yapi hayo mafanikio ya wakiristo kwa mtu mmoja mmoja hapa Tanzania? Wewe kama unaweza kupata chakula kidogo na kibanda cha kujificha usiku unadhani Wakiristo wote wana maisha mazuri? Pesa haina uhusiano na dini mkuu, siri ya mafanikio ni mtu binafsi kupambana, inaonekana ujatembea sehemu kubwa ya Tanzania tembea uoni watu walivyochoka hakuna cha Muislam wala Mkiristo, Watanzania bana kweli sisi bado masikini sana mtu akinunua gari NOHA Used basi anajiona ni tajiri na kwake ni mafanikio makubwa...mkuu wakati mwingine usiandike hivi kama ulivyoandika...karibu kahawa mie nipo hapa kijiweni.
 
natamani sana kukata vichwa vya makafiri inshaallah iko siku itawadia

Umejazwa upepo wa upumbavu na moyo wako ukajaa kama puto ambalo ukilitoboa upepo wake hauna madhira yoyote.
Kipi kinakuzuia wakati katika nyumba tano una jirani Mkristo, kama si nyumbani basi ofisini kwako, kama si ofisini basi kwenye biashara zako.
Pole sana, tafakari upya mafundisho ya huyo Mungu anayefundisha mafundisho ya aina hiyo.
UMEKULA UPEPO NA WAJIDHANIA UMESHIBA!
 
Hakuna kitu kibaya kama udini,watanzania tulishazoeana tunaishi kwa amani huyu pepo sijui katoka wapi vyombovya habari kama vile radio Imani na gazeti la sijui Alnuuru viteketezwe kwa kuchochea machafuko!
 
Toa mfano wa Wizara iliyoingia mikataba ya kijinga chini ya uongozi wa Wakristo.

Sijui siasa za Tanzania umenza kuzifuatilia lini mkuu wangu? Unajua lini Andrew Chenge alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali? Huyu jamaa ni kati ya wasomi wakubwa wa Kikiristo waliongia mikataba ya kijinga kabisa na makampuni ya Ulaya na Marekani...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom