Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Ni bora kila mtu kuheshimu imani ya mwenzake ndio uvumilivu tatizo humu JF kuna members huwa wanaona imani zao ndio bora zaidi kumbe ni mtizamo dhaifu kabisa, nadhani imefika wakati kuondoka kwenye hii thread ambayo haina tija yoyote kwa taifa zaidi ya chuki.

Mkuu, umewaza nini? Nashangaa mara nyingi huwa unatanguliza umbumbu mbele na kuzika busara zako.
Kumbe unao wingi wa hekima, umezifungia kwenye kasiki.
Hata hivyo thread si mbaya, tatizo ni utovu wa hikma za wachangiaji
 
Viziwi ,mabubu,vipofu na wala hawataiona njia ya kweli kamwe wameizamisha nchi kwenye tope la umasikini,ufisadi na ubaguzi kwa wanaoabudu mungu mmoja asiena mtoto wala mjukuu. Kazi yao ulevi tu na kucheza eti ibada nani kawaambia mungu anakula mkate wa kuchoma hahaha

Hapo umejibu hoja gani na ya nani?
 
MI nimeliona hilo muda mrefu hilo gazeti ni la uchochezi halifai kabisa naunga hoja mkono lifungiwe.
 
Kauli hizi nilizisikia pale kariakoo karibu R/ ABOUT. Nilipomuuliza kijana aliyekuwa ameshupaa vipi kuhusu KARAMAGI, nani aliuza Loliondo, Mahita na kashifa za ujambazi akaondoka bila kuaga. Ndo mistari mliokaririshwa kwenye vijiwe vya kahawa, maana huo utangulizi kwenye "red" unaonyesha kuwa wewe upo upo tu.

Kweli mkuu wangu mie nipo nipo tu na saizi nipo kwenye kijiwe cha kahawa karibu.
 
Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?
Siamini kama wewe ndo unaandika haya,kama ndivyo kinachokufanya kushabikia mfumo wa magamba nini?matatizo ya nchi hii yahasababishwi na wasomi bali mfumo mbovu wa utawala,wasomi hulazimishwa kufanya vitu visivyo vya kitaalamu na wanasiasa.Kumbuka Richmond,RADA,KAGODA,IPTL n.k chanzo ni wanasiasa na si wasomi,kama wasomi wataachwa wafanye mambo kwa weledi na utaalamu wao tutafika mbali na hapa hakuna mkiristo wa muislamu.ndo maana ni muhimu kuuondoa kabisa mfumo chakavu wa siasa wa sasa wa magamba haufai hata kidogo
wasalaam
 
Nadhan hoja sio Gazeti hilo ila Ukristo Vs Muslim society,Moderator ondoa hoja hii imejaaa Udini na Chuki Binafsi
 
Pagan gani wewe wakati wewe ni mwanachama hai wa UAMSHO wachoma makanisa

Mkuu nani kakuambia mie Pagani? Wewe niweke popote utakapopenda mie na tatizo na mtu mie sina tatizo na mtu.
 
Moderators please funga hii thread..

Hii thread imeanzishwa na Mgala kwa ajili ya kukejeli Uislaam, zilizoanzishwa na Waislaam zimefungwa ikiwamo ile ya Magazeti ya nipashe/daim. Tunaenda nao sawa, wacha tupige Dah'wah, tunaweza kula vichwa kadhaa !
 
Dr Babak Sheikh. Orthapaedic Surgery.

Dr Mohamed Aden Sheikh. Surgery.

unataka wengine?

Hivi tukianza kuorodhesha Maprof na Drs. wa kikikristu si tutakesha hapa jamvini...

Naona Ritz anataka kujipalia makaa-kaweka wawili-kama anataka tumpe orodha aisome mwenyewe-nazan ndo atakaa kimya
 
Sheikh wa msikiti hawezi kuwa Doctor wa kutibu watu. Uchawi sio mpaka uwange.

Ila PAdri a.k.a dokta anaetaka kuchukuwa nchi na kulala na wake za watu na kuzaa nae huyu anaitwa padre na yes ameweza kua dokta japo si wa kutibu watu bali anatibu wake za watu na kuwaita wachumba. hebu ninong,oneze ameshazaa ??? mtoto gani?
 
Naona Ritz anataka kujipalia makaa-kaweka wawili-kama anataka tumpe orodha aisome mwenyewe-nazan ndo atakaa kimya

Mkuu hujui nilikuwa namjibu nani tatizo umevamia thread kwa kasi ya ajabu...nilikukuwa sishindanishi ma- Dr.
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?

Mkuu Ritz, nimeipenda hii...
Wengi wao inaonekana wana vyeti vya hapa hapa JF...Ukizima mtandao na cheti hakifanyi kazi tena...Mwenye elimu hapiti akipiga kelele mimi nimesoma...
 
Hivi mnachozozana hapa mantiki yake ni nini?? Mie nina uhakika kama leo hii mtume muhammed angelikuta na yesu kristo wangelikaa chini pamoja na kunywa chai sasa nyie wagombana nini??

Ni wakati kwa watanzania wote wakristo na waislamu kukaa pamoja na kujadili mambo ya muhimu kuliko kibishania udini.

Pia mjue uislamu uliletwa na waarabu ukristo na wazungu sisi dini zetu asilia hamzijui??
 
Tujenge utamaduni wa kukubali kusikia mawazo ya wengine hata kama yatakuwa kinyume na matakwa yetu. Gazeti hili limetoa maoni ya jamii husika. kufungia gazeti ni sawa na kuziba kinywa watu au jamii hiyo isitoe mawazo, bila kufumbua tatizo la msingi.
Hili ndilo kosa alilofanya mkuu wa kaya, pamoja na bunge lake kuziba watu wasijadili muungano, bila kutatua tatizo la msingi. matokeo yake ni jamii kushindwa kuvumilia ugandamizaji, na ndiyo yanayojili zanzibari.
Naomba gazeti hilo liendelee, na mawazo yao yasipuuzwe.
MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA.
 
mijadala ya dini migum sana kimsingi wengine hatuiwezi ila tunachowaomba acheni kuchoma BAR huko zenji basi,pia dini si kanisa wala jengo,hamkuwai kusikia caisar NERO alichoma roma yote lakini ukristo haukufa!kwaiyo msichome na majengo ya ibada pia..kingine, nyinyi mna imani sana kuliko musa aliyekua anaongea na Mungu moja kwa moja,sasa mbona yeye kakuanza kuwachoma wamisri mpka Mungu alipoamua mwenyewe kuanza kuwashughulikia?kama watu wana makosa ni Mungu ndio aliwaumba na ni yeye ndo wamemkosea, na ni yeye anayejua adhabu yao kwa iyo tupeane time kila mmoja aendeshe mambo yake ilimradi we give each other a good space..acheni ushabiki wa dini msizozijua,..nani kawambia hizi dini ni za africa.. nani anajua BUSTANI ya edeni ilipo?nani anajua mbingu ilipo?nani kawambia bible na koran ndo njia pekee ya kumjua mungu?nani kasema ukristo na uislamu ndo chanzo pekee cha kwenda mbinguni?nani kasema ukiingia darasani na kupata degree ndo maana halisi ya kuwa msomi? kifupi acheni choko choko, tunataka zoezi zima la katiba mpya lifanikiwe..mkitaka udini kawaulizani israeli na parestina.....kama hujanielewa ni PM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom