Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
I'm relieved Ritz, but preach the right message basi. Don't be reduced by them by acquiring their level of thinking. Tuko pamoja.

Kuna coaligue wangu husema 'wakerewe ni wasomi, humuoni nyerere', just becoz babake anatoka kijiji alichozaliwa mwalimu! That is kinda low....
King'asti.
Nadhani mtizamo wako na wangu hauna tofauti sana...mie binafsi marafiki zangu wakiristo sina nao tatizo, tatizo humu JF kuna kundi linalojiona bora kuzidi lingine na kujisifia na kujitapa na usomi.
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.
1-Walithibitisha kwa ile habari ya Muislamu aliyekuwa akisahihisha mitihani siku ya Ramadhani.
2-unakumbuka lile gogoro la ardhi ya msikiti Mtwara?.....walilithibitisha hili pia.
Na mimi ninaongezea la kwangu "lisilo" na uthibitisho: "idadi ya Waislamu katika magereza ni wengi kuliko Wakristo!
Ukoseshwaji wa Elimu, kuwa wachache katika vitengo nyeti na idadi kubwa kuwa majela bila kusahau uteja ambao ni matokeo ya ukoseshwaji wa Elimu, yatabakia kuwa midomoni mwa Waislamu aidha al-nuur lifungiwe au lisifungiwe.
Sasa sijui utayafungia magazeti mangapi au Waislamu kiasi gani.
Nawasilisha.
 
siku si nyingi ukweli utadhihirika!!!
ukweli umekwisha dhihirika, uamue wewe, aidha uwe mwenye kushukuru au mwenye kukufuru !
Aidha useme Mungu ana mtoto, au Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote !
 
Wakati wao wananunua maspika na vipaza sauti ili kuitetea dini yao SISI tunazidi tafuta ardhi kwa ajili ya kufungua Mashule,hospitali n.k, wao wanang'ang'ania hapo mjini,sie 2naingia interior to open diffect projects as well 2namwabudu mungu.
 
madhila ya kujitakia? hii inferiority complex mnaitoa wapi? kwani akina zitto,lipumba,kikwete,bilal na wengine wengi waliwezaje??

angalia majina yao ya mwisho ayaelekei km ya kiislamu ndo maana hawakushitukiwa mapema;
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?

Hakuna Ritz...wasomi wapo URAYA tu na MAREKANI...sijui na wapi kule tena...mweehh nimesahau....huku kwetu hakuna kitu kabisa heheeeeeeeeeee
 
Wakati wao wananunua maspika na vipaza sauti ili kuitetea dini yao SISI tunazidi tafuta ardhi kwa ajili ya kufungua Mashule,hospitali n.k, wao wanang'ang'ania hapo mjini,sie 2naingia interior to open diffect projects as well 2namwabudu mungu.
Una PhD kisha unaabudu sanamu ulilonunua kwa pesa zako !
 
ukweli umekwisha dhihirika, uamue wewe, aidha uwe mwenye kushukuru au mwenye kukufuru !
Aidha useme Mungu ana mtoto, au Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa na wala hafanani na chochote !
linawauma hilo....!!!Heheeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

ukifundishwa madudu utafanya madudu tu hata upewe upendeleo namna gani kwa mgongo wa dini. huwezi ukapanda bangi ukavuna mpunga hata kama hiyo bangi itachomwa sindano ili itoe mpunga, ndo kwanza itaongeza majani zaidi na bangi itaongezeka. mtu mwenye akili zake timamu na hofu ya Mungu hawezi kufaulisha wanaofanya madudu. hizo shule zinafundisha u.p.u.p.u mtupu na hawako makini ndio maana wanafunzi wao wanafeli. kama wanataka wafaulu si wawe makini na ufundishaji wa hiyo wanayoita 'elimu dunia' basi? kama hawawezi wawatumie majini huko baraza wakawafaulishe wanafunzi wao because that is what they are best at and the reason why they fail... Imani zingine za hovyo kabisa. ukimwendekeza shetani atakuangamiza tu na utaishia kulalamika unaonewa.
 
Nyie kina nani? Sasa unataka mabadiliko yapi wakati wizara zote na taasisi za serikali ya Tanzania zimejaa wakiristo nadhani hapo wanaopaswa kulalamika kutaka mabadiliko ni waislam, nyie si ndio mmeifikisha nchi hapa ilipo hivi Mkapa ni muislam? Huoni kama Waislam wana haki ya kulalamika kwa nini wasomi wa kikiristo wanaingia mikataba ya kijinga kabisa, wasomi wa kikiristo wameuza MIGODI yote, GEITA, KAHAMA,NYAKAGWE, NYARUGUSU, NYAMONGO, MWADUI,MERERANI... wameuza pia BANDARI, NBC, TRC, TAZARA, KIA, MBUGA za WANYAMA, ARDHI...ni vingi sana wameuza.

Ritz, hapo mimi naona ishu sio dini/imani ya mtu. ni utashi wake mwenyewe na tamaa zake mbaya. makanisani kwenyewe kuna mpaka wachawi ingawa Biblia inakataza. zipo dini zingine uchawi upo kwenye vitabu vyao au namna ya kutengeneza madudu fulani... Mungu anatupenda wote waovu kwa wema, wanaomwamini na wasiomwamini na hataki tuuane au tubishanie dini... 'dini' zote zinakataza maovu na hawa wanaoingia mikataba na au kuharibu au kuchafua wizara zao waislamu wapo pia hata kama ni mmoja au wawili nao wapo... hebu tuacheni ushabiki wa dini maana hicho sio kitakachotupelekea kuondokana na matatizo yetu katika jamii. kama mtu anaaamini chura ndo mungu wake shauri yake na aendelee siku yake inakuja atakapojua ukweli na kuipata hukumu yake. tuangalie tu namna gani ya kuondokana na matatizo haya tuliyonayo..
 
Namuomba Mungu aifute hii dini hapa duniani tuishi kwa amani..maana waumini wa dini hii ni matatizo tuu, kila kukicha..kuonewa wanaonewa wao kila siku..jamani acheni inferiority complex na mjitutumue..sasa kushinda kucheza bao na kunywa gahawa siku nzima itawasaidia nini..sisi tunajituma halafu mnakuja kutuwangia usiku..yaani tokea nihamie huku pwani..ni kugombana na wachawi tu kila siku..mchana ukienda mishe unawakuta wamekaa vibarazani kwao wanakucheki..ijioni ukirudi unawakuta wanakunywa gahawa..usiku wanaanza kukuwangia..yaani hii dini taabu tupu..
 
namuomba mungu aifute hii dini hapa duniani tuishi kwa amani..maana waumini wa dini hii ni matatizo tuu, kila kukicha..kuonewa wanaonewa wao kila siku..jamani acheni inferiority complex na mjitutumue..sasa kushinda kucheza bao na kunywa gahawa siku nzima itawasaidia nini..sisi tunajituma halafu mnakuja kutuwangia usiku..yaani tokea nihamie huku pwani..ni kugombana na wachawi tu kila siku..mchana ukienda mishe unawakuta wamekaa vibarazani kwao wanakucheki..ijioni ukirudi unawakuta wanakunywa gahawa..usiku wanaanza kukuwangia..yaani hii dini taabu tupu..

word!!!
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

Anayewateua ni nani katika nafasi hizo?Amwambie Kikwete awabadilishe.Hilo si gazeti la kulisoma.Huyo Kikwete hawezi kulifungia kwani mambo yanayosemwa huko yangekuwa yanawakera basi wangetoa tamko kupitia kwa waziri mhusika.
 
Namuomba Mungu aifute hii dini hapa duniani tuishi kwa amani..maana waumini wa dini hii ni matatizo tuu, kila kukicha..kuonewa wanaonewa wao kila siku..jamani acheni inferiority complex na mjitutumue..sasa kushinda kucheza bao na kunywa gahawa siku nzima itawasaidia nini..sisi tunajituma halafu mnakuja kutuwangia usiku..yaani tokea nihamie huku pwani..ni kugombana na wachawi tu kila siku..mchana ukienda mishe unawakuta wamekaa vibarazani kwao wanakucheki..ijioni ukirudi unawakuta wanakunywa gahawa..usiku wanaanza kukuwangia..yaani hii dini taabu tupu..

Mungu yupi unae muomba mkuu?
 
usiwatupie watu lawama wakati nyinyi ndiyo mlioshiriki kikamilifu kuirudisha ccm na serikali yake madarakani 2010 kwa sababu rais ni kikwete/muislam...
Raisi naweza kuwa wa dini yoyote pasipo kujali dini au ametoka sehemu gani ya Tanzania, lakini ni muhimu awe mtu ambaye ata-meet matakwa ya watanzania, mtu mwenye kuleta unafuu wa maisha kwa watanzania. Suala la hilo gazeti (Al-Nuur) kutoa machapisho ya kuleta udini ni uvurugaji wa amani na kuleta uchonganishi, hii ina maana leo mimi nimchukie muislam au muislam anichukie mimi.... hapana kabisa haiwezi kuwa hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom