Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Gazeti hili limekuwa chanzo na mwendelezo wa ubaguzi wa kidini hapa Tanzania. Pia redio Imam. Limekuwa ni gazeti la udaku. Badala ya kuwaelimisha Waislam jinsi ya kufanya kazi ili kujipatia maisha bora, limeegemea kuwachochea waislam kuuchukia Uislam. Hivi kama na magazeti wanayomiliki wenzetu wakristo yataanza kuchongea wakristo kuchukia uislam, Tanzania itatawalika?
Mfano, wanasema Baraza la Mitihan linabagua wakristu. Je! ina maana kuwa panel ya wanaosahihisha Mitihan hiyo ni Wakristo pekeee? Hakuna waalim wa Kiislam wanaokwenda kusahihisha? Au na wenyewe wanapewa mlungula ili wasitoboe siri ya upendeleo uliopo?
Ndo maana unaambiwa, akili za kupewa, ongeza na za kwako. Waislam tuwe tunajiongeza.
:crazy:
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:


  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)


Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.
 
Siku zote nikiona Tanzania tunaongelea udini inanipa tabu sana. Mwenendo huu unazidi kushika kasi siku hadi siku, hakuna anayeonyesha kukemea kwa maana ya kukemea kwa njia ambazo ni halali ili kuepusha chuki za udini kuingia miyoni na katika imani za wengi.

Mashaka zaidi yananijia hasa kwa kuwa ukiangalia maisha ya kawaida maofisini, na maeneo mengine ya kijamii au hata katika mitaa yetu tunayoishi hizi chuki hazijionyeshi wazi, ila tu zipo sana katika majukwaa, siku hizi ukiingia Youtube ukiweka bongo flava unapata mijadala ya dini moja ikikashifu vitabu vitakatifu vya dini nyingine, je udini upo zaidi katika siasa maana katika maisha ya kawaida wote tunashirikiana vyema tu, acha matukio machache kama yanayoendelea zanzibar hivi sasa ambayo pia nadhani ni matokeo ya wachache kuendeleza siasa chafu.

Nyerere alisema mwanasiasa akifilisika kisiasa,atajihalarisha kidini,kiukanda,kiukabila na hata kifamilia ikibidi.Nchi yetu inakwenda na maji huku tunaitazama hivihivi!INASIKITISHA SANA!Hivi viongozi hawayaoni haya kweli!!??kuna jamaa walienda kufanya interview hapahapa bongo na msimamizi alitoka na kusema hadharani kuwa idadi ya dini fulani ktk taasisi hiyo inatosha hivyo wasitegemee kupata nafasi!!du!!inaumiza sana ukifikilia tz miaka 50 ijayo kama tutaendelea na hii trend!amini ni wanasiasa wanatufikisha huku.mimi kwa mtizamo wangu kuna wanao injinia hizi social unrest ili tu ikiwezekana wasije shitakiwa!Mungu ibariki tz utuopoe kwenye huu mkono wa mauti!
 
John Momose Cheyo aliposema TRA wamejaa wachagga aliitwa Mkabila na Wachagga
 
King'asti.
Nadhani mtizamo wako na wangu hauna tofauti sana...mie binafsi marafiki zangu wakiristo sina nao tatizo, tatizo humu JF kuna kundi linalojiona bora kuzidi lingine na kujisifia na kujitapa na usomi.

mkuu,kubali kataa..elimu ndio chanzo cha fujo zenu na ukatili wenu...mngeenda shule,uko Znz wangejua mbinu sahihi za kudai haki zao bila kuwakwaza watu wa iman zingine...shule muhimu sana.
 
Habari zenu waja jamvi, ama baada ya salam nataka jua kama kuna mtu amesoma japo makala moja ya ALNUUR. M i nalilaumu kwa kua huchapisha habari ambazo kwa mtu mwenye elimu ndogo na fikra potofu ni sumu kwa imani yake na mtazamo juu ya dini nyingine. Na nilitazama kiwango cha elimu cha watanzania napata picha kwa nini neno moja au mawili ya kiongozi wa UAMSHO yalileta taswira tofauti mjini Zanzibar. Asikuambie mtu hakuna kitu rahisi kama KUMJAZA UJINGA MJINGA.

Jarida zima limejaa taarifa ambazo hazina uchambuzi hasa zile zinazolenga kujenga fikra potofu kwa wasomaji wake. Hebu jaribu kutoegemea upande wowote na usome jarida hili, hata kama una uelewa wa kusoma na kuandika tu utagundua kua vipandikizi vya hisia flani mbaya kitu ambacho si kweli.

MFANO Kuna toleo lilikua likizungumzia matokeo ya kidato cha 4 na 6 likijenga hisia kua jamii flani hua inaonewa na ndo maana haifanyi vyema, nikakaa chini na kuwaza kule kwetu TABORA, PWANI na TANGA ambako jamii hii ni wengi. Desturi yao ni nzuri japo hua wanasahau upande wa pili na ndio leo wanapiga kelele zisizo na maana. Huko utakuta watoto wa miaka mi4 hadi 15 wanaamka asubuhi na kujikusanya kwa ajili ya kujua elimu ahera na ni muda wa elimu dunia asubuhi hadi jioni. Ni vyema na haki, ukimkamata huyohuyo mtoto aliekremisha kitabu cha dini umpe 10+5-4-0+1=? HAJUI. Sasa ukikaa na kufikiria bado hujajua wanakosea wapi?. ELIMU NI KAMA NYUMBA, SIKU ZOTE TUNAANZA NA MSINGI. Hapa sikatazi elimu ya dini bali najaribu kukuonyesha ufa wa kuziba.

Hata hapa mjini wapo watu wa aina hii ambae huona fahari mtoto kuegemea upande mmoja na kuzika mwingine. Mwaisho wa siku hua ni kuoa katika umri mdogo, kuolewa katika umri mdogo kwa kua hana msingi wa kuendelea. Na hata wanaopata nafasi ndo hao wanaofeli masomo karibia yote na kufaulu moja la dini pekee, kuthibitisha hili ndio maana hitilafu ya somo la ISLAMIC KNOWLEDGE liligutukiwa mapema na sio somo lingine lolote. Cha kushangaza gazeti hili linachapisha kua ALAMA ZA WAISLAMU ZILIHAMISHWA KWA WAKRISTU......??????? Sasa mkristu anasoma vipi somo hilo? Hya ilitokea hitilafu na kurekebishwa, ni wangapi walikua wanadai hizo alama wataenda chuo akati wamefeli PRINCIPAL SUBJECTS? Na umejiuliza kwa nini walifaulu ISLAMIC KNOWLEDGE? Kama mvivu wa kufukiri basi ni kwamba WALIANDALIWA TANGU MSINGI WA UTOTONI msingi ambao ulijengeka at THE EXPENSE OF FORMAL EDUCATION.

NAOMBA KUTOA HOJA
 
Hivi wanajf serikali inasubiri nini kulifungia gazeti hili maana linaandika habari za uchochozi, matusi na uasi moja kwa moja bila hata kificho, kwa yeyote aliesoma toleo la leo ijumaa atakubaliana na mimi limejaa matusi dhidi ya waislamu wenzao,serikali, ukristo n.k au ni mpaka liandike habari zinazogusa ikulu ndio lifungiwe kama mwana halisi.
 
Hivi wanajf serikali inasubiri nini kulifungia gazeti hili maana linaandika habari za uchochozi, matusi na uasi moja kwa moja bila hata kificho, kwa yeyote aliesoma toleo la leo ijumaa atakubaliana na mimi limejaa matusi dhidi ya waislamu wenzao,serikali, ukristo n.k au ni mpaka liandike habari zinazogusa ikulu ndio lifungiwe kama mwana halisi.


Achana nalo Mkuu. Sipo Serikalini, lakini naamini Serikali wana nia nzuri kuliacha liendelee. It's a source of information--a source of Intelligence.
 
Nchi hii, vyombo vya habari hufungiwa/hushughulikiwa pale tuu vinapomgusa raisi. Kumbuka ZE UTAMU
 
Huu ni ushahidi wa wazi kuwa vyombo vya habari vyenye asili ya kuripoti mambo ya Waislamu parse haviwezi kuchukuliwa hatua zozote na vipo juu ya sheria!
TCRA VIPI?
 
Achana nalo Mkuu. Sipo Serikalini, lakini naamini Serikali wana nia nzuri kuliacha liendelee. It's a source of information--a source of Intelligence.

Kwani MwanaHalisi halikuwa source ya information? Nchi hii imejaa siasa, kipimo kinachotumika kuhukumu mmoja kitumike pia kuhukumu mwingine. Kwa habari za uchochezi, MwanaHalisi laweza kuwa ktk level moja na gazeti la An-nuur au redio Imaan? Lakini vyombo hivi viwili vya habari havitishii usalama wa nchi kwa kuwa vina faida kwa watu fulani.
 
hivi hii dini ilianza mwaka gani, na origin yake ni wapi??? nachokaaaaaaaaaaa!
 
Hapo ndipo tunapohoji uwezo wa kiakili wa viongozi wetu serikalini. Haiingi akilini kuona magazeti kama haya yanayohatarisha usalama wa nchi kwa kuchochea udini halafu viongozi wanakimbilia kuwafungulia mashtaka waandishi wanaowatahadharisha polisi kuwa makini katika kazi zao. This is ridiculous!
 
Kila lenye mwanzo halikosi litakuwa na mwisho. Uchochezi nao mwisho wake umekaribia
 
hivi hii dini ilianza mwaka gani, na origin yake ni wapi??? nachokaaaaaaaaaaa!

POINT! BIG LIKE!
sipendi niandike matusi hapa, au kuanzisha mgogoro wa dini, lakin swali langu ni kwamba, MLIKUWA WAPI MIAKA YOTE HIYO KULETA HIZO CHOKOCHOKO? Badala ya kufanyia vita kwenye vyumba vya mitihani, kumpiga adui ujinga, nyie mmeng'ang'ana na mapanga
NI UKOSEFU WA AKILI MWAFANYA, ILA WAKATI MWINGINE HUWA NACHEKA SANA, YAAN MNAYOFANYA UTADHANI MMEZALIWA JANA
"MNABOA!"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom