Tatizo lenu mkielezwa ukweli mnasema mnashambuliwa hata Quran imesisitiza kusoma IQRA..
Mie nakubali kabisa kuwa wakiristo Tanzania ndio wamesoma sana hapo nipo na wewe pamoja tena nawapa sifa sana.
Labda ungetusaidia kwa faida ya JF wasomi wa Tanzania wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini?
Wewe si huwa unajinasibu kuwa ni PAGAN? leo imekuaje?acha unafiki.