Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Umesema vyema sana, kitu ambacho gazeti hilo lilipaswa kufanya. Badala ya kukazana kushambulia ukristo na kulalamika ingeweza kuongelea strong points za uislam ili na wasio waislamu wajue uzuri wake wajiunge. Na kuwafundisha waislamu mbinu za ku-survive competition. Mfano Bible inasema 'mshike sana elimu wala usimuache aende zake', na pengine inasema hamtakopa bali ninyi mtakopesha. Naongelea positive energy.
Ni bora kila mtu kuheshimu imani ya mwenzake ndio uvumilivu tatizo humu JF kuna members huwa wanaona imani zao ndio bora zaidi kumbe ni mtizamo dhaifu kabisa, nadhani imefika wakati kuondoka kwenye hii thread ambayo haina tija yoyote kwa taifa zaidi ya chuki.
 
Mkuu hatupo humu JF kwa ajili ya kusifiana, sio kama naponda ndio ukweli ebu niambie wewe wasomi wa Tanzania wameisaidiaje Tanzania? Sasa hivi Tanzania katika nchi 20 duniani masikini wa kutupwa tumo sasa unataka tuwasifie hao wasomi kwa lipi?
kwa kumchagua tena kikwete mlishiriki kuwarudisha hawa wasomi majizi madarakani...hapa utamlaumu nani, sisi tuliokuwa tunataka mabadiliko au nyinyi mlioukumbatia mfumo uleule kwa sababu tu rais ni mwislam?
 
Umesema vyema sana, kitu ambacho gazeti hilo lilipaswa kufanya. Badala ya kukazana kushambulia ukristo na kulalamika ingeweza kuongelea strong points za uislam ili na wasio waislamu wajue uzuri wake wajiunge. Na kuwafundisha waislamu mbinu za ku-survive competition. Mfano Bible inasema 'mshike sana elimu wala usimuache aende zake', na pengine inasema hamtakopa bali ninyi mtakopesha. Naongelea positive energy.

Tatizo lenu mkielezwa ukweli mnasema mnashambuliwa hata Quran imesisitiza kusoma IQRA..

Mie nakubali kabisa kuwa wakiristo Tanzania ndio wamesoma sana hapo nipo na wewe pamoja tena nawapa sifa sana.

Labda ungetusaidia kwa faida ya JF wasomi wa Tanzania wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini?
 
Najua wajua ila unapotosha tu. Bible inasema Yesu ni Mungu, alitwaa mwili na akatumwa kwetu. Ili kuweka maana ya ukombozi angesulubiwa akiwa Mungu tusingeamini gharama ya ukombozi wetu. Na kula kipande cha samaki mbele yao ilikuwa kuwathibitishia kuwa ni yeye na sio ghost (kizuka?)
Hilo tu ndo ulisikia ? Hukusikia wanasema Mungu si mtu na hakuwahi kushikwa na njaa !?
" Hata asubuhu alipokuwa akienda mjini, aliona njaa" MT:21:18
" Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia: mna chakula chochote hapa !? Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa, akakitwaa akala mbele yao" LUKA:24:41-43.
 
inashangaza sana, hawa ndugu zetu kwa wingi wao ni wavivu na hao ndio vilaza na wanaoweza kubeza kwa kusema TZ hakuna wasomi. Ni wao na wasiwasi wao tu. mitihani wanafunzi wanatumia namba, sasa je,kuna namba za waislamu na za wakristo?
 
Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?

CCM mnataka kuisambaratisha nchi hii. Kwa nini msijifie kimya kimya mkatuachia nchi yetu?

Hivi tumefikia mahali pa kuanza kuulizana dini au kabila la mtu katika utendaji? Mbona kuna waislam wanasoma shule zinazomilikiwa na makanisa bila kubaguliwa? Tuambieni ni wakristo wangapi wameajiriwa au wanasoma shule zinazomilikiwa na taasisi za kiislam. Msitake na sisi tuanze kuhoji upuuzi wenu.
 
kwa kumchagua tena kikwete mlishiriki kuwarudisha hawa wasomi majizi madarakani...hapa utamlaumu nani, sisi tuliokuwa tunataka mabadiliko au nyinyi mlioukumbatia mfumo uleule kwa sababu tu rais ni mwislam?

Nyie kina nani? Sasa unataka mabadiliko yapi wakati wizara zote na taasisi za serikali ya Tanzania zimejaa wakiristo nadhani hapo wanaopaswa kulalamika kutaka mabadiliko ni waislam, nyie si ndio mmeifikisha nchi hapa ilipo hivi Mkapa ni muislam? Huoni kama Waislam wana haki ya kulalamika kwa nini wasomi wa kikiristo wanaingia mikataba ya kijinga kabisa, wasomi wa kikiristo wameuza MIGODI yote, GEITA, KAHAMA,NYAKAGWE, NYARUGUSU, NYAMONGO, MWADUI,MERERANI... wameuza pia BANDARI, NBC, TRC, TAZARA, KIA, MBUGA za WANYAMA, ARDHI...ni vingi sana wameuza.
 
Ritz, binafsi sijivunii usomi wa wakristo wala wa waislamu. Nina marafiki wa dini zote, waliosoma na wasiosoma na kila mmoja ana sehemu yake muhimu kwangu! Wote tukiwa maprofesa nani atakuwa bwana shamba, ama mwalimu wa shule ya msingi? Tatizo la tanzania sio dini za wasomi wetu. Dini zote zinasisitiza kufanya kazi kwa bidii na uaminifu. Na ukisema mkristo ama muislamu kafanya vizuri unakosea, Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete hawafanyi na hawakufanya kazi kwa muongozo wa dini zao. See the BIG PICTURE papaa!
Tatizo lenu mkielezwa ukweli mnasema mnashambuliwa hata Quran imesisitiza kusoma IQRA..

Mie nakubali kabisa kuwa wakiristo Tanzania ndio wamesoma sana hapo nipo na wewe pamoja tena nawapa sifa sana.

Labda ungetusaidia kwa faida ya JF wasomi wa Tanzania wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini?
 
Adui Mkubwa wa Shule za Kiislamu na wanafunzi wa Kiislamu kwa Ujumla alikuwa Kapuya!! Alianza kuleta Ubaguzi kwa Kuwavisha Hijabu!! Sasa imefikia Mahali Hata mzazi unapishana na Mwanao kwenye mlango wa Gest Huwezi Mtambua kwa sababu ya Kujitanda na Kufunika Uso!! Shule Nyingi za kiislamu Zimeshindwa Kutofautisha Elimu Dunia na Elimu Ahera!! Sasa wanataka Huruma kwenye Elimu Dunia? Madaktari si Wataua wagonjwa na Madaraja kubomoka?? Jamani Hili Gazeti naona Mwandishi/Mhariri ana Mtindio wa Ubongo!! Na lipuuzwe!!
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

Waislam waanzishe baraza lao na vyeti vitambulike duniani
hata kama ni kilaza wapeana first class
 
Adui Mkubwa wa Shule za Kiislamu na wanafunzi wa Kiislamu kwa Ujumla alikuwa Kapuya!! Alianza kuleta Ubaguzi kwa Kuwavisha Hijabu!! Sasa imefikia Mahali Hata mzazi unapishana na Mwanao kwenye mlango wa Gest Huwezi Mtambua kwa sababu ya Kujitanda na Kufunika Uso!! Shule Nyingi za kiislamu Zimeshindwa Kutofautisha Elimu Dunia na Elimu Ahera!! Sasa wanataka Huruma kwenye Elimu Dunia? Madaktari si Wataua wagonjwa na Madaraja kubomoka?? Jamani Hili Gazeti naona Mwandishi/Mhariri ana Mtindio wa Ubongo!! Na lipuuzwe!!

Hivi wewe unajua maana hijab -

mwanamke wa kiislam bila hijab yupo utupu alichofanya kapuya ni kuwagaia waislam haki yao ya msingi .. na pia hijab ni protection... dini yetu its all about protection ...

mfano- pombe... sigara... kitimoto... Drugs etcl... vimeharamishwa katika dini yetu! angalia leo hii ajali ngapi zinatokea sababu ya ulevi..?! huoni kama hapa dini yetu imetukinga na ajali kama hizi..!? je wajua effect ya pombe within your liver !.. kama we mywaji au hata kama uliwahi kuonja nenda kafanye ultra sound ya liver alafu compare na yule ambaye hajawahi kunywa pombe ....

hijab- ni stara na pia ni protection to ours sisters .... they can walk freely and show what they want you to see ( Freedom waliypewa katika dini yetu) chances za mwanamke aliyevaa kimini kubakwa usiku wa kiza kinene ni kubwa kuliko mtoto wa kiislam aliye jistiri....

i hope u understand me ! kama hujaelewa ....>>> JOG ON MATE
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

huoni km ina mantik coz wew unanufaika nayo iyo mifumo,bt ata sis 2naona kuchoma moto makanisa ha2oni mantik yoyote ya wa2 kulalamika,
c uvunjen uwo muungano,pawe salama
imekua nongwa wazenj kukataa muungano,
mh!,wanyama bwana!,ata uwavishe suti na tai hawaach unyama wao,
kilichopandwa nd knachovunwa sasa,
mna2jazia mikanisa(uchafu)kwa kivuli cha muungano,
 
Ritz, binafsi sijivunii usomi wa wakristo wala wa waislamu. Nina marafiki wa dini zote, waliosoma na wasiosoma na kila mmoja ana sehemu yake muhimu kwangu! Wote tukiwa maprofesa nani atakuwa bwana shamba, ama mwalimu wa shule ya msingi? Tatizo la tanzania sio dini za wasomi wetu. Dini zote zinasisitiza kufanya kazi kwa bidii na uaminifu. Na ukisema mkristo ama muislamu kafanya vizuri unakosea, Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete hawafanyi na hawakufanya kazi kwa muongozo wa dini zao. See the BIG PICTURE papaa!

King'asti.
Nadhani mtizamo wako na wangu hauna tofauti sana...mie binafsi marafiki zangu wakiristo sina nao tatizo, tatizo humu JF kuna kundi linalojiona bora kuzidi lingine na kujisifia na kujitapa na usomi.
 
ww unataja madaktari wa kimarekani? Afu hao sio masheikh wa msikiti.acha ujinga

Wewe ndio mjinga unarukia mijadala hata hujui nilikuwa namjibu nani anza kusoma thread kuanzia mwanzo kijana.
 
Comrade naunga mkono hoja hii kwa asilimia mia moja,
Management ya shule zao ni hafifu kabisa wanashinda wanazurura tu mijini na mitaani kwa nini wasifeli?
wamekurupuka hwa jamaa kulalamika sana ni ishara ya udhaifu,na woga

ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?

Tulikuwa Tz moja leo wamekuwa wao na sisi, hongera sana wanasiasa na viongozi wa dini mliopandikiza mbegu za udini.

Naomba tu nikiri kuwa hata mimi mwenyewe napambana sana na roho ya chuki dhidi ya waislam ambayo inaninyemelea kutokana na yanayoendelea sasa, namuomba Mungu aniwezeshe kuishinda, kwa kuwa uislamu ni imani tu ambayo mimi siiamini, lakini waislamu ni ndugu jamaa na marafiki zangu.

Tunakoelekea ni kubaya sana, Mungu atunusuru...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom