Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.
Mods muwe makini sana.. Sred kama hizi zinazochochea udini mnazimuvuzishia kwenye Dustbin Na mtoa hoja nae anapatiwa BAN!!! Ustaarabu unaendelea..
 
Sijawah kuona watu wanafki kama baadhi ya WAKRISTO watanzania....yaani udini mnautengeneza wenyewe alafu mwashangaa matokeo yake? AL noor ni matokeo ya madhila dhid ya waislam
madhila ya kujitakia? hii inferiority complex mnaitoa wapi? kwani akina zitto,lipumba,kikwete,bilal na wengine wengi waliwezaje??
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?
Mkuu nchi hii pasingekuwepo hili kundi kubwa la manyani linofikiria kwa rivasi daima unadhani tungekuwa hapa tulipo? Tatizo kubwa la nchi hii ni hiyo midude inayoongogwa na hiyo mistari ya lusufer.
 
Viziwi ,mabubu,vipofu na wala hawataiona njia ya kweli kamwe wameizamisha nchi kwenye tope la umasikini,ufisadi na ubaguzi kwa wanaoabudu mungu mmoja asiena mtoto wala mjukuu. Kazi yao ulevi tu na kucheza eti ibada nani kawaambia mungu anakula mkate wa kuchoma hahaha
Wamezoea kutukana na kejeli, hapa wanamtukana na kumkejeli Mungu wao.
" Na wale watu waliokua wakimshika Yesu, walimfanyia dhihaka, wakampiga. Wakamfunika macho, kisha wakamuuliza uliza wakisema: Tabiri ni nani aliyekupiga!? Wakamtolea na maneno mengine mengi ya kumtukana. LUKA:22:63-65.
 
magazeti yanasomwa manzese tu sioni haja ya kufungiwa waacheni kwani tatizo ya wahariri wa gazet hili hawana elimu ya darasani( formal) wana elimu......

Pili linauzwa nakala si zaidi ya 100....

Waacheni hawa jamaa wanajielewa sanaaaaa
 
watabakia kulalamika kila siku......,hawatapata lolote....
kweli ajali sio lazima kugongwa na gari, mtu kukosa elimu/maarifa ni ajali kubwa sana
shule mbovu academically halafu unabakia laumu serikali wakati we ndo unayoiendesha..unabagua hata walimu,badala ya kuchukua ma expert..
matokeo yake ni nini..?
aise inachekesha sana...kusikia hizi fikra potofu za ndugu zetu hawa....
yaani ni kama vile wanaigiza......
(ebu anagalia hapa chini uprove ukweli)

siku moja nilikuwa nasikiliza radio imani usiku wa manane nikavutiwa na maneno ya shehe mmoja..eti alikuwa anadai eti anashangaa muislam anashabikia soka za ligi za ulaya wakati asilimia 90% ni wakristo...akaenda mbali zaidi akadai eti au brazil inacheza na saudi arabia muislam mzima anashabikia brazili badala ya saudi arabia..akahoji utamshabikiaje vipi kafiri badala ya muislamu mwenzako kinyume na mafunzao ya allah...?
hapo ndipo nikajua kweli kuwa kuna hasara ya kukariri quran na kukosa elimu dunia...!
 
watabakia kulalamika kila siku......,hawatapata lolote....
kweli ajali sio lazima kugongwa na gari, mtu kukosa elimu/maarifa ni ajali kubwa sana
shule mbovu academically halafu unabakia laumu serikali wakati we ndo unayoiendesha..unabagua hata walimu,badala ya kuchukua ma expert..
matokeo yake ni nini..?
aise inachekesha sana...kusikia hizi fikra potofu za ndugu zetu hawa....
yaani ni kama vile wanaigiza......
(ebu anagalia hapa chini uprove ukweli)

siku moja nilikuwa nasikiliza radio imani usiku wa manane nikavutiwa na maneno ya shehe mmoja..eti alikuwa anadai eti anashangaa muislam anashabikia soka za ligi za ulaya wakati asilimia 90% ni wakristo...akaenda mbali zaidi akadai eti au brazil inacheza na saudi arabia muislam mzima anashabikia brazili badala ya saudi arabia..akahoji utamshabikiaje vipi kafiri badala ya muislamu mwenzako kinyume na mafunzao ya allah...?
hapo ndipo nikajua kweli kuwa kuna hasara ya kukariri quran na kukosa elimu dunia...!
Hilo tu ndo ulisikia ? Hukusikia wanasema Mungu si mtu na hakuwahi kushikwa na njaa !?
" Hata asubuhu alipokuwa akienda mjini, aliona njaa" MT:21:18
" Basi walipokuwa hawajaamini kwa furaha, huku wakistaajabu, aliwaambia: mna chakula chochote hapa !? Wakampa kipande cha samaki wa kuokwa, akakitwaa akala mbele yao" LUKA:24:41-43.
 
CCM wanajua upepo wa kisiasa unawaendea vibaya. Sasa wana ajenda ya siri ya kutumia kikundi ya uamsho Zanzibar ili kupandikiaza mtafaruku wa kidini ili wapate support ya waislam!! Wanawategeshea viongozi wa kanisa watoe matamko ili wapate sababu ya kuchochea vurugu!! Rais ndiye asimame na kutoa tamko! Watanzania kuweni macho na njama za CCM!! Mungu ibariki Tanzania!!
 
Hao ni wakuwapuuza kama Shibuda hawana athari kwa siasa/dini tanzania. Ukiwafungia ndo watasimamia hapo hapo hasa ukichukulia kuwa wako karibu saana na Al-shabab wa Somalia. Hao walilaaniwa. Iwe ni Nigeria,Iraq, Afghanistan,etc wenye chokochoko ni wao tu!Huwa hawaridhiki hao hata serikali hii ingekuwa ni ya dini yao bado ungesikia vurugu tu.
Mimi nimesahihisha mitihani baraza la mitihani jambo la pekee ni kwamba huwezi kujua jina la mtu kwa sababu namba ndo zinazotumika na wao hili wanalijua kabisa
 
Hivi tukianza kuorodhesha Maprof na Drs. wa kikikristu si tutakesha hapa jamvini...

Sio kila ukisikia Profesa Nyanjesa au Dokta Mtalimbo watakuwa ni makafiri, hapo ndipo mnapojisahau na kufikiri wasomi wote ni wakristo.:lock1:
 
Siku zote nikiona Tanzania tunaongelea udini inanipa tabu sana. Mwenendo huu unazidi kushika kasi siku hadi siku, hakuna anayeonyesha kukemea kwa maana ya kukemea kwa njia ambazo ni halali ili kuepusha chuki za udini kuingia miyoni na katika imani za wengi.

Mashaka zaidi yananijia hasa kwa kuwa ukiangalia maisha ya kawaida maofisini, na maeneo mengine ya kijamii au hata katika mitaa yetu tunayoishi hizi chuki hazijionyeshi wazi, ila tu zipo sana katika majukwaa, siku hizi ukiingia Youtube ukiweka bongo flava unapata mijadala ya dini moja ikikashifu vitabu vitakatifu vya dini nyingine, je udini upo zaidi katika siasa maana katika maisha ya kawaida wote tunashirikiana vyema tu, acha matukio machache kama yanayoendelea zanzibar hivi sasa ambayo pia nadhani ni matokeo ya wachache kuendeleza siasa chafu.
 
Leo unaponda wasomi asalamaleku walahi
Huu ndio kweli wasomi wa Tanzania ni sawa sawa na Punda aliebeba mizigo ya vitabu...

Sehemu yoyote kwenye wasomi lazima athari zionekane.

Athari za Wasomi wa Tanzania ni Ufisadi.
 
Siku zote wagalatia wao ndo wanaongoza kuwachukia waamuni wa dini ya mungu.Mastore yao wanayachoma yenyewe wanawasingizia wazanzibar.Na mungu atawalaani kwa kuabudu masanamu pambaf
 
Leo unaponda wasomi asalamaleku walahi

Mkuu hatupo humu JF kwa ajili ya kusifiana, sio kama naponda ndio ukweli ebu niambie wewe wasomi wa Tanzania wameisaidiaje Tanzania? Sasa hivi Tanzania katika nchi 20 duniani masikini wa kutupwa tumo sasa unataka tuwasifie hao wasomi kwa lipi?
 
watashindana weee lakini hawatashinda, siku zote debe tupu halikosi mlio
 
Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?

hivi Haji Mponda na Msitafa Mukulo ni dini gani
 
hivi Haji Mponda na Msitafa Mukulo ni dini gani

Mkuu waziri ni cheo tu wapo watu ambao wanaongoza hizo wizara ambao ndio watendaji hivi waziri ndio anaefanya kazi zote za wizara mikoa yote ya Tanzania?

Labda nikupe mfano mdogo tu tembea mikoa yote Tanzania nzima halafu angalia ofisi zote za serikali wafanyakazi wengi ni kina nani nenda wizara, za Ardhi, Nishati na Madini, Ujenzi, Afya, na zingine.

Ndio utajua kwa nini nimesema wasomi wa Tanzania ni kama vile punda aliebeba mzigo wa vitabu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom