Gazeti Al-Nuur lifungiwe

Status
Not open for further replies.

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,590
2,141
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.
 
Comrade naunga mkono hoja hii kwa asilimia mia moja,
Management ya shule zao ni hafifu kabisa wanashinda wanazurura tu mijini na mitaani kwa nini wasifeli?
wamekurupuka hwa jamaa kulalamika sana ni ishara ya udhaifu,na woga
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?
 
Siyo gazeti peke yake bali na mtu yeyote anaye husisha ujinga wa waislamu wachache na ukosefu wa madaraka!
 
Kuna baadhi ya waislamu wana mtindio wa ubongo. Wao wanadhani ni waislamu zaidi ya wale wa Saudia au Iran. Yaani mfano wakienda Saudia wala hawawezi tambulika kama waislamu. Wawaulize wenzao wanaoishi Iraq. Ni ujinga mtupu hii dini upande wa Africa. Waafrika ni weusi na dini ya kiislamu waliipokea kama nyeusi,
 
Kwa kusema pasipo na uthibitisho wa kitafiti kuwa:

  1. Baraza la Mitihani linafelisha Makusudi Waislamu na Shule Zao
  2. Vitengo nyeti wapo wakristu wakereketwa (Maana yake vyeo viangalie dini badala ya Competency)

Sioni kama kuna mantiki yoyote kwenye malalamiko haya.

Hili gazeti ni la uchochezi na linahamasisha fujo halina tofauti na radio iman
 
tatizo la hawa ndugu zetu ilmu hakuna..tuwaulumieni.

Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?
 
Gazeti hili ni hatari kwa mstakabali wa amani hii kiduchu tuliyonayo, kuendelea kuliacha gazeti hili na wamiliki wake ni kukumbatia bomu litakalo walipukia mda wowote!
 
Taasisi zote Wizara zote Tanzania, watendaji wote ni Wakiristo, Taifa limeingia mikataba ya kijinga na kipuuzi na wasomi wa Kikiristo katika migodi yetu, sasa mkuu wangu tunakubali kabisa Wakiristo ni wasomi je unaweza kutufahamisha huo usomi wenu wakuu umelisaidiaje taifa letu?
usiwatupie watu lawama wakati nyinyi ndiyo mlioshiriki kikamilifu kuirudisha ccm na serikali yake madarakani 2010 kwa sababu rais ni kikwete/muislam...
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?

kwa hiyo unataka kusema mdogo wako alifelishwa makusudi?
 
ha haa haaa huwa nacheka sana aisee! kuna watu Tanzania wanajifanya wasomi wakati hakuna kitu..

Mkuu ebu tusaidie huo usomi wenu unaojitapa nao umelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye ndimbwi la umasikini duniani?

Hivi Tanzania nako kuna wasomi?

ww upo off point hiyo sio hoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom