Kwenye ndoa za jinsia moja hakuna mke na mumeAnaeoongea nae kama demu tu. Hii ndio sodoma na gomora
Kwenye ndoa za jinsia moja hakuna mke na mume wote ni gaysLeo nimekukamata! Hii kitu ulikuwa unabisha kila wakati. Unashema anayekula na anayeliwa wote ni mashoga. Shoga ni yule chuma inamuingia D2. Kama hakuna Chuma kinakuingia D2 wewe si shoga.
Kuna mtoaji na Mpokea maji ya uzima! Mtaalam wa sekta hii cocastic amedhihirisha hivyo! UsibisheKwenye ndoa za jinsia moja hakuna mke na mume wote ni gays
Kwenye hii sector, huwa Nakuaminia, unafanya research yako vizuri.Kunao bhana, kuna bottoms na tops.
Daah! We mtu umewaza nini?Hahahahaha!!!!! camera yangu mbovu!!?? mbona shoga hana mvuto wakati mashoga wengi wanajipenda kweli.
nilichokionaDaah! We mtu umewaza nini?
Dah! Aibu anaona mtu mwingine 😂😂Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.
Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.
Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew
Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂
Nachoka kwa kweli, woiiiih.
View attachment 3682523
Nadhani wanakulana zamu zamu, huyu uume ukilala huyu anambamiza, uume ukisimama naye anabambamiza mwenzake.Nachoka na hawa tu, maana wananichanganya wakili wao, sijui mume yupi na mke nani,
😂😂😂😂
Unaniuziii
Hilo jamaa ulilolitaja na mtoa mada wote ni familia na hayo majamaa yaliyokataliwa kuingia visiwaniHumu kuna mapunga makina bichwa komwe takataka kabsa
Hadi mtoa mada ni Punga??Hilo jamaa ulilolitaja na mtoa mada wote ni familia na hayo majamaa yaliyokataliwa kuingia visiwani