Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.

Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.

Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.

Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew

Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂

Nachoka kwa kweli, woiiiih.

View attachment 3682523
Leo nimekukamata! Hii kitu ulikuwa unabisha kila wakati. Unashema anayekula na anayeliwa wote ni mashoga. Shoga ni yule chuma inamuingia D2. Kama hakuna Chuma kinakuingia D2 wewe si shoga.
 
Raha ya mtoto uwe umemkojoa kutoka kwenye bao lako

Labda kwa kesi ya wandoa wachache wasio na huo uwezo wa kuzaa

Ila hao gays hawana excuse
India ilikataza Surrogacy kwa foreigners sababu ya Gays kutoka Marekani na Ulaya. Walikuwa wanaenda kufanya IVF. Wananunua mayai na kutumia sperms za mmoja wao. Walikuwa wengi kibao na mayai yalikuwepo hata sperm za kununua kama walivyofanya akina Dr. Mariposa zilikuwepo ni mfuko wako tu. Ndipo walipohamia Nepal.
 
Leo nimekukamata! Hii kitu ulikuwa unabisha kila wakati. Unashema anayekula na anayeliwa wote ni mashoga. Shoga ni yule chuma inamuingia D2. Kama hakuna Chuma kinakuingia D2 wewe si shoga.
😂😂😂 ila G kwanini? Afu nawewe nimekukamata pia. Kumbe ndio wewe eeeh?
 
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.

Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.

Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.

Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew

Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂

Nachoka kwa kweli, woiiiih.

View attachment 3682523
ok.🐒
 
Attachments

  • 550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    550D3528-9DFB-430A-8BD8-CFEB53C06683.jpeg
    218 KB · Views: 4
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.

Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.

Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.

Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew

Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂

Nachoka kwa kweli, woiiiih.

View attachment 3682523
Gays duniani wanatakiwa kuwa smart. Wasikae kizembe. Wao wajue kuwa hawatakiwi wala kuvumiliwa nchi nyingi tu. Kabla hawajaenda mahali kwa mbwembwe na sifa ni lazima kwanza wajihakikishie mapokezi yao yatakuwaje huko wanakokwenda. Kama ni lazima basi waende kwa kificho na kutuliza mizuka wanapokuwa hadharani.

Mashoga wako nchi zote kila mahali lakini ndio hivyo tena, hawakubaliki hata na mashoga wenzao hadharani! Usishangae Zanzibar. Waziri wa fedha wa Marekani ni shoga wa wazi tena kaolewa rasmi lakini serikali yake inapiga vita mashoga. Kiongozi wa chama cha mlengo mkali wa kulia kisiasa Ujerumani (AfD) ni shoga (lesbian) wakati chama kinatangaza uadui mkubwa na mashoga.
 
Una hoja, uzingatiwe.
 
Back
Top Bottom