cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 121,980
- 200,709
Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.
Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.
Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew
Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂
Nachoka kwa kweli, woiiiih.