Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,032
- 26,672
.
UmejuajeAfu huyo ndio mume sasa, 😂😂😂
Hii itacost sana kwenye suala la utalii, Wazanzibar hawakutakiwa kufata upepo wa hao machizi fresh, wao wanategemea zaidi utalii,
Btw, kwa kua ni waSouth binafsi nimeona kisasi kimelipwa kama wao walivyowafurusha ndugu zetu nchini kwao na sie tuwafurushe hata kama wanaleta hela
Ukiweka u islam mbele ndio shida, unaweza kufikiri hakuna mashoga zenj,! Mpaka sherehe wanafanya,
Astaghifilullah!Ukiweka u islam mbele ndio shida, unaweza kufikiri hakuna mashoga zenj,! Mpaka sherehe wanafanya,
Subhanallah!znz kijana shoga ana thamani kubwa kuliko kijana teja
Wana adopt/asili mtoto au watoto.Mitihani sheikh!Kwahiyo hiyo couple haitegemei kupata watoto maana hakuna mwenye tumbo la kubeba mimba hapo🙌
Hata kama ningekuwa Mimi Rais wa Zanzibar nisingeruhusu Gays couple kuingia Nchini kwangu
Watu gani wamezaliwa wana mboo, Kisha waone sawa wao kuingiliana
Raha ya mtoto uwe umemkojoa kutoka kwenye bao lakoWana adopt/asili mtoto au watoto.Mitihani sheikh!
Eti hatakaa arudi Zanzibar....Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1.
Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo waliwazuia kutoka nje ya uwanja huo, mara baada ya kubainika kwa mahusiano yao hayo.
Mzukwa na mpenzi wake wamezuiliwa ikiwa walikua ktk mipango ya mapumziko mafupi na kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mzukwa visiwani humo, mzukwa ameonesha kusikitishwa na hali hiyo na hajapenda kabisa, amelaani na kuapa hatokanyaga tena visiwani humo.
Ila Zenji nao kujifanya wana maadili au vipi, mbona huko mashoga wako kibao tena lele lele, hadi afande wao kuji record akiukalia na kuulilia ukuni, na waja wakaona, leo hizi ashuo zinatoka wapi? Mxxxxiiiieeew
Mwenzenu nachoka kwa hawa wapenzi wenyewe, maana sielewi mume yupi, na mke nani, najionea km wote wanawake tu, au ndio mkoboano? 😂😂😂
Bwana anavyoongea aibu naona mie, huyo bibi pembeni nae anajiliza liza hapo, khaah 😂😂😂
Nachoka kwa kweli, woiiiih.
View attachment 3682523
Mbona umekazania hilo?Chiwawa em hangaika na maisha yako ya tabu, hadi unakua omba omba humu JF.
aibu usiwe nayo wewe omba omba, ndio niwe nayo mie nayetumia mwili wangu? Uko sawa wewe?
😂😂😂😂
Gran pah wewe akili yako yote unawaza watoto tu? Aliyekuambia kila mtu anataka watoto nani? Au hao mume na mke wote huwa wana watoto? Au wanazaa kwa njia ya kawaida?Kwahiyo hiyo couple haitegemei kupata watoto maana hakuna mwenye tumbo la kubeba mimba hapo🙌
Hata kama ningekuwa Mimi Rais wa Zanzibar nisingeruhusu Gays couple kuingia Nchini kwangu
Watu gani wamezaliwa wana mboo, Kisha waone sawa wao kuingiliana
😂😂😂 umechelewa kujua hilo? Poleee.Mbona umekazania hilo?
Nimesema ukweli kuwa leo najihakikishia ukweli kuwa kumbe wewe ni punga alafu unaanza kusema mimi omba omba?
Ni lini nimesha wahi kuomba mtu hela humu?
Nilikuwa nadhani wanakusingizia kumbe ni kweli wewe ni punga?