Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

Nafananisha hii nchi na ile nchi ya vichaa... .iliyokuwa inaongozwa na mfalme Juha...
 
Alichokisema Prof. Ndulu Ni kweli, TRA wanaleta siasa.

Hiyo ni indirect tax (VAT) inayotozwa kwa mlaji moja kwa moja, iweje mabenki yalipe. Anayetakiwa kulipa ni mlaji wa mwisho ( Final consumer). Mabenki yanaisaidia tu serikali kukusanya.
It is very true.

Anachosema Profesa Ndulu ndiyo ukweli wenyewe, it is obvious VAT inalipwa na mlaji, kwa maana ya mteja.

Hao TRA na Dr Mpango wanaweweseka na kukanyagana na kujifanya kuyaambia mabenki kuwa yako wrong wakati yapo right.

Naamini huyo Dr Mpango 'anajuta' kuwamiss wabunge wa Ukawa, kutokana na huyo Tulia kutaka kulifanya Bunge letu liwe la maccm watupu.

Kwa kuwa kama vile :vichwa 'vya wabunge wa Ukawa wangekuwepo Bungeni, huu' upuuzi 'wa VAT kwenye miamala ya mabenki na kwenye makampuni ya simu kamwe isingepita.

Lakini ndiyo hivyo tena.. kuwa wabunge waliobaki Bungeni ndiyo wale wanaounga mkono kwa asilimia 100 kwa chochote kinacholetwa Bungeni na serikali, hata kama kitakuwa cha kipuuzi kama hiki cha miamala ya mabenki na makampuni ya simu....... Ndiyo hivyo tena ni DISASTER....
 
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi . Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
Umenena vyema kabisaaaa but Bible inasema Ufalme uliofitinika wenyewe kwa wenyewe hautadumu
 
Huyu prof anajua yupo kipindi ch JK nini?
Bro wa sasa hachelewi kuchapisha note mpya
alishawahi kumwambia Magu,BOT hakuna watumishi hewa.magu akapiga kimya

Huyu gavana hana msaada wowote nchini..ndio maana BOT ina mauzauza kibao..atoke tu hizi nyakati zimemzidi uwezo.

Huyu Profesa hata mumseme namna gani..kwenye hili yuko sahihi kabisa. Hapa makosa yalifanyika na serikali. Huwezi ukasema eti mabenki yalikua yanaikusanya VAT huko nyuma wakati sheria ya VAT ilikua haiwaelekezi kufanya hivyo. Na VAT ukishaileta siku zote jua inaenda kulipwa na mteja...sio muuzaji.
 
Naona watu wengi mnamshukia tu profesa Benno Ndullu; is anybody can tell me wapi amekosea Benno? Issue sio kusema tu TRA na BOT wazungumze lugha moja, issue ni who is right? TRA or BOT?
Hivi katika sheria zelizotungwa na bunge la letu la ccm......nan anayetakiiwa lulipa VAT ? Kwa kawaida ni mlaji wa mwisho......
 
Tusiwe wavivu wa kupata taarifa sahihi mabenki yapo sahihi na prof yuko sahihi tatizo tuna wabunge wengi wa ccm uelewa wao wa mambo ni mdogo saaana hawasomi.Naomba watu waaome income tax practise notice number 05/2013 iliyotiwa sahihi tarehe 1/11/2013 inayozungumzia business income ndio utajua sasa wakuu wameamua kwa makusudi kupindisha sheria za nchi . Na lazima tujue VAT as per international taxation laws mlipaji ni final consumer and not otherwise.kama tumeamua kuwa na ' VAT' ya definition ya kibongo kibongo well and good lakini is not health kwa elimu yetu watu wako vyuoni wanasoma hivi halafu in practices wanakuta vike its ridiculous and shame kwa watu walioshiriki kupitisha mambo ya hovyo kama haya
Nyie wa vyuoni mnakariri tu.mkija kazini ni kupiga dili na kutuharibia uchumi wetu.huyo wa Tra na yeye si ndo nyie?
 
Naona watu wengi mnamshukia tu profesa Benno Ndullu; is anybody can tell me wapi amekosea Benno? Issue sio kusema tu TRA na BOT wazungumze lugha moja, issue ni who is right? TRA or BOT?
Ndulu hajasoma/hajaielewa taarifa ya TRA.Amekurupuka. Kwanza huyu mtu ni jipu. Nashangaa mpaka leo hajatumbuliwa.
 
Mkuu mbeziboy mabenk yangewezaje kulipa tena wakati yanalipa kodi ya jumla kwenye mapato yake?na mapato ni pamoja na bank charges.Yani muuza duka alipe kodi ya mapato na bado alipie kodi ya sukari peke yake,inakuwaje?

Kodi zipo za aina tofauti. Kwa mfano bank inaweza ikaambiwa ilipe corporate tax..na hapo hapo iwe VAT collector. Corporate tax bank italipa kutoka kwenye mapato yake...lakini VAT inalipwa na wateja wa bank...yani bank inakua ni wakala wa tra..inakusanya kwa wateja na kuiwasilisha tra.
 
Gazeti la Mwananchi.Wakati TRA ikiitaka BOT izichukulie hatua bank zilizotangaza kuongeza gharama za huduma za kibenk,BOT imesema mabenk yapo sawa!Prof.Ndulu anasema mabenk watakuwa mawakala wa TRA tu katika kukusanya VAT lakini si walipaji,kwa hiyo hawezi kuwachukulia hatua.Beno Ndulu ametolea mfano unapokua unauza duka unakuwa wakala tu wa TRA na sio mlipaji.....KUMEKUCHA

Ila kwa sasa ile gharama tuliyokuwa tulipa kwa muamala 18% itakwanyuliwa na kupelekwa TRA. Iwapo wataruhusiwa kuongeza gharama za mihamala na serkali ikakubaliana nao ndio hapo watakuwa wamekula matapishi yao. Issue Bank walikuwa wanatoza hela kubwa na ni ajabu kwanini TRA walikuwa hawachukui chao, inabidi wapeleke mapato TRA. Aidha ni uzembe mkubwa ulifanywa na TRA kutotoza ushuru kwenye huduma hizo tangu awali. Haswa watu wa simu ndio wezi kupindukia, watu wamekariri huduma fasta ila ni wezi haswa wa pesa zetu tangu huduma za upigaji hadi za kifedha.
 
Gazeti la Mwananchi.Wakati TRA ikiitaka BOT izichukulie hatua bank zilizotangaza kuongeza gharama za huduma za kibenk,BOT imesema mabenk yapo sawa!Prof.Ndulu anasema mabenk watakuwa mawakala wa TRA tu katika kukusanya VAT lakini si walipaji,kwa hiyo hawezi kuwachukulia hatua.Beno Ndulu ametolea mfano unapokua unauza duka unakuwa wakala tu wa TRA na sio mlipaji.....KUMEKUCHA

huyo prof asituchanganye kabisaaaaa!!!swali hapo ni hili:je kutoa pesa au kutuma pesa ni huduma ?na huduma hii benk walikuwa walapeleka VAT serikalini?kama hapana maana yake serikali ilikuwa ikipoteza mapato ya kodi hii!!!maana yake walikuwa na msamaha Wa kodi hii!!hivyo serikali imeondoa msamaha huu!!Prof huyu kama haelewi basi ni jipu ajiuzulu haraka!!
 
Siamini habari hii..
Baki na kutoamini kwako, CCM mnajichanganya Sana, mmefitinika
9c13ef22d978153da5a78544512ccd52.jpg
 
Ndulu hajasoma/hajaielewa taarifa ya TRA.Amekurupuka. Kwanza huyu mtu ni jipu. Nashangaa mpaka leo hajatumbuliwa.

Ndulu ambaye kwenye utawala wake...mfumuko wa bei umeshuka kutoka double digit saa hizi tupo kwenye 5% na ushee ni jipu? Kwakua tu ameongea ukweli kuhusu kodi ya VAT? Kaazi kweli kweli.
 
huyo prof asituchanganye kabisaaaaa!!!swali hapo ni hili:je kutoa pesa au kutuma pesa ni huduma ?na huduma hii benk walikuwa walapeleka VAT serikalini?kama hapana maana yake serikali ilikuwa ikipoteza mapato ya kodi hii!!!maana yake walikuwa na msamaha Wa kodi hii!!hivyo serikali imeondoa msamaha huu!!Prof huyu kama haelewi basi ni jipu ajiuzulu haraka!!

Kulikua hakuna vat kwenye hio kitu. Ndo maana imetungiwa sheria sasa. Ada walizo weka ndio zinaendana na gharama za uendeshaji. Ukiipunguza ili wao wawepo duniani kibiashara itabidi waegeze ada tu
 
Tra hakuna wajuvyi wa kodi, nafasi nyingi za kugaiana tu. Hata hio vat juu ya ada ni utumiaji mbovu wa vat. Sio kila mahala una toza vat.
Hii kwa uerfu ni valu added tax. Inatumika pale mlaji anapo nunua kitu. Hutumika zaidi kwenye bidhaa na sio kwenye services. Na hii ni kodi ambayo kuna wengine wapo excempted mfano diplomats . Hawa wanapo nunua kitu au service basi huomba refund...ni usumbufu sana ila tra hawajui ku plan mambo yao kwani wana ukosefu wa wataalam wa kububi hiw yo implement tax wanazo zitunga.
Na hili la bank vat haikupaswa kuwekwa kabisa , ndio kama lile la utaliii....
Gharama za kuweka fedha benki hazitakiwi ziwe juu . Ukiweka vat ni wazi banki wata ongeza juu ada zao kufidia ile iliokatwa na vat....hivyo gharama zinaenda kwa mteja.
Tukumbuke fedha zozote zinazo wekea bank tayari aidha ni income au revenue ya makampuni au mishahara ya wafanyakazi ambao wanapitishia fedha benki.
Hizi fedha sio product, hizi tayari ndani yake kuna vat ya tra , kuna stamp duty ya tra, kuna WHT ya tra pia kuna corporate tax ya tra...na kwa wafanya kazi ni net income baada ya kutoa payee. Kuzitoza kodi kwa njia yoyote ile hata kwa kuongezeka ada juu kutokana na kuanzishwa vat ya ada sio sawa kabisa kabisa..ni kodi haramu au kodi jipu
asante mkuu ila hapo kwenye payee nadhani ulimaanisha paye yaani pay as you earn
 
Nyie wa vyuoni mnakariri tu.mkija kazini ni kupiga dili na kutuharibia uchumi wetu.huyo wa Tra na yeye si ndo nyie?
Karugila unaweza kuamua kuwa kipofu wakati unaona ni suala la uamuzi tu na kujitoa akili kama una amini watu wa chuoni ni kama ulivyoandika hiyo ni mind set yako so sitakushangaa maana umeamua kuwa mvivu wa kufikiri na inawezekani ikawa sio kosa lako ni la kimfumo zaidi ulikufikisha hapo
 
Kodi zipo za aina tofauti. Kwa mfano bank inaweza ikaambiwa ilipe corporate tax..na hapo hapo iwe VAT collector. Corporate tax bank italipa kutoka kwenye mapato yake...lakini VAT inalipwa na wateja wa bank...yani bank inakua ni wakala wa tra..inakusanya kwa wateja na kuiwasilisha tra.
nakubaliana na wewe kabisa.hoja yangu ni kwamba Bank inawezaje kulipa kodi ya bank charges "ambayo imeitwa VAT" wakati inalipa corporate tax?
 
Back
Top Bottom