Mshamba wa Kijijini
Member
- Oct 5, 2007
- 74
- 1
Jamani wanasheria mko wapi tuungane kumshitaki huyu mtu kwanini tuanalalamika kila wakati tu naombeni email ya Prof.Shivji na mwingie ambaye mnadhani wanaweza kunisaidia mimi naanza tuone , maana kila kitu naona kiko wazi kabisa....
hivi hamtaweza kunichangia nauli kwenda nje ya nchi, maana mimi nakwenda kumfungulia kesi ubelgiji kuna itifaki iliridhiwa na bunge letu kumshtaki mtu kama huyu bunge letu unajua ni wajinga wanaridhia itifaki za kidunia bila hata kujua impact zake.
hata mkapa mnamdekeza tu.
nimeongea na prof mmoja huko Belgium jamaaa yuko fresh na ameniahidi anapitia itifaki za bunge letu ili aone iko vipi halafu tujue cha kuanzia tuonyeshe hasira yetu.
msitegemee ripoti hiyo ni upuuzi tu