this seems to be like Wednesday news.. we have to change this.. haiwezekani habari ya Jumatano tunasoma Ijumaa! are we in a kind of time warp in sector 17?
Kibaya zaidi news kama hiyo ilitakiwa iwe imetolewa na Ikulu, lakini tunapata news hiyo kutoka upande wa pili wa shilingi. Kwa maneno mengine iko based kwenye barua ya Ballali.
Nadhani report ya ukaguzi wa mahesabu ya BoT ina utata na ndiyo maana Ikulu imekuwa nzito kutoa taarifa. Hapo kuna mtego, je, wakimkubalia atakaa kimya au atakuja kupayuka? What if wananchi wakitaka achukuliwe hatua, ni njia gani itatumika kumlinda ili asije akamwaga upupu kwa wengine waliolamba bingo la BoT. Hapo lazima watu wa kitengo wafanye kazi ya ziada ili kuhakikisha kwamba hiyo resignation haitakuja kuwalipukia na hasa pindi jamaa atakapokuja kubanwa ataje waliolamba bingo.