Gavana Balali Ajiuzulu!

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Tumekua tukimjadili humu kwa muda mrefu sasa kuhusu Dr Ballali, lakini leo naona TUMETENDEE HAKI KWA KUMPA SALAAM ZA EID..

Hii pia ni kumpa na salaam za Christmas na mwaka mpya na kumtakia mapumziko mema huko aliko na Mungu atujalie Watanzania kupata kiongozi mzuri zaidi yake pindi wakati mwafaka utakapowadia.

Huyu mzee Ballali alikua mtu muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania, lakini akapakwa shombo na siasa za kijinga za Tanzania. Kwa hiyo kwa kumtendea haki, BINAFSI NAONA NI BORA AKAPUMZIKA NA KUJIUGUZA kwa amani badala ya kunyooshewa vidole. ANASTAHILI kila aina ya upendo badala ya kuandamwa.

NI MAWAZO YANGU TU NA NDOTO NILIYOIOTA JANA. WANDUGU WAPENDWA "AKILI NI NYWELE" Tutawasiliana baadaye

barua.gif
 
Halisi, nimekupata sana unaposema "akili ni nywele" je ni sawa na msemo asiyeona ni kipofu?
 
Tumekua tukimjadili humu kwa muda mrefu sasa kuhusu Dr Ballali, lakini leo naona TUMETENDEE HAKI KWA KUMPA SALAAM ZA EID.. Hii pia ni kumpa na salaam za Chrimas na mwaka mpya na kumtakia mapumziko mema huko aliko na Mungu atujalie Watanzania kupata kiongozi mzuri zaidi yake pindi wakati mwafaka utakapowadia. Huyu mzee Ballali alikua mtu muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania, lakini akapakwa shombo na siasa za kijinga za Tanzania. Kwa hiyo kwa kumtendea haki, BINAFSI NAONA NI BORA AKAPUMZIKA NA KUJIUGUZA kwa amani badala ya kunyooshewa vidole. ANASTAHILI kila aina ya upendo badala ya kuandamwa. NI MAWAZO YANGU TU NA NDOTO NILIYOIOTA JANA. WADUGU WAPENDWA "AKILI NI NYWELE" Tutawasiliana baadaye

What!? :confused:

Tumtendee haki wakati yeye hakuwatendea haki Watanzania pale alipozembea na kukaa kimya wakati kulipotokea upotevu wa $250 million? :confused:

Na siajabu ana husika kwa namna moja au nyingine katika upotevu huo.

Ama kweli ukistaajabu ya Mussa...
 
Kwa mawazo yangu hii lazima itakuwa ANOTHER BREAKING NEWS kutoka kwa Ndugu yetu HALISI!!! Akili ni nywele kama anavyosema.... kuna jambo kubwa Halisi ameamua kulitoa hapa bila kutumia 'breaking news' title katika thread... Tusubiri, mimi namwaminia anachokisema, hata ndoto zake.. :)

Halisi, sikuwezi.... na ahsante kwa kutupatia mambo ya jikoni including hili jipya!!

SteveD.
 
Halisi, umeniwahi tu ndugu yangu, kwani na mimi nilikuwa nataka niweke mambo haya mchana baada ya watu kula Eid kidogo. Kwa vile umelileta hapa na mimi nikuunge mkono. Kama vile mchezo wa Chess.. you move, I move! hadi tuhakikishe watawala wanakuwa kwenye checkmate! Anyway, wana JF tumuombee Balali apone na arudi nyumbani. Hivi karibuni afisa wa ngazi za juu toka Usalama alikuwa huku kijijini na alishangazwa sana kumuona Balali bado mzima na anadunda!

Kwenye sakata la BoT Balali anaweza kutolewa kafara kama ya Isaka! Endapo Balali atanyamaza milele kama alivyonyamaza binti "YULE" basi jaribio la kuziba upande wapili wa hoja litafanikiwa.

Ni wazi kuwa kati ya watu wote waliohusika na uchotaji wa fedha benki kuu Gav. Balali yuko kwenye nafasi ya pekee kuweza kujibu mashambulizi yoyote ambayo yameandaliwa dhidi yake.

Jaribio lolote lile la kumlazimisha ajiuzulu au kumtangaza kajiuzulu au kwa namna yoyote kumfanya asirudi nyumbani mzima (kule nyuma alipoondoka tu niliandika mahali fulani kuwa msishangae akirudi kwenye box) ni jaribio ambalo lazima lipingwe, likataliwe n.k. Endapo Balali ataamua kujiuzulu au kuachia ngazi ni lazima awe katika uhuru wote wa kusema anachojua.

Ni kwa sababu hiyo basi ndugu zangu wa JF, tumuombee apone na awe huru kuzungumza. Naomba niingie kwenye rekodi na kusikika kusema kuwa BALALI AACHWE AZUNGUMZE NA ASINYAMAZE/ASINYAMAZISHWE MILELE!

M. M.
 
..... We're in the process to UNRAVEL THE MYSTERIOUS TANZANIA BEHEMOTH!!

SteveD.
 
Tumekua tukimjadili humu kwa muda mrefu sasa kuhusu Dr Ballali, lakini leo naona TUMETENDEE HAKI KWA KUMPA SALAAM ZA EID.. Hii pia ni kumpa na salaam za Chrimas na mwaka mpya na kumtakia mapumziko mema huko aliko na Mungu atujalie Watanzania kupata kiongozi mzuri zaidi yake pindi wakati mwafaka utakapowadia. Huyu mzee Ballali alikua mtu muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania, lakini akapakwa shombo na siasa za kijinga za Tanzania. Kwa hiyo kwa kumtendea haki, BINAFSI NAONA NI BORA AKAPUMZIKA NA KUJIUGUZA kwa amani badala ya kunyooshewa vidole. ANASTAHILI kila aina ya upendo badala ya kuandamwa. NI MAWAZO YANGU TU NA NDOTO NILIYOIOTA JANA. WADUGU WAPENDWA "AKILI NI NYWELE" Tutawasiliana baadaye

Halisi,

Mkuu lakini si Ballali arudishe kwanza kile alichotuibia?

Tuache kabisa tabia za kuwaonea haya wanaotuibia. Ni kumkoma Nyani Giladi, hakuna kumwangalia usoni.

Mtu kama huyo hata kwenye press conference yake hakuna haja ya kwenda maana unaweza kumwonea huruma. Yeye arudishe pesa alizochota au atusaidie kutuambia nani alimtuma mpaka wakatuibia?
 
Jaribio lolote lile la kumlazimisha ajiuzulu au kumtangaza kajiuzulu au kwa namna yoyote kumfanya asirudi nyumbani mzima (kule nyuma alipoondoka tu niliandika mahali fulani kuwa msishangae akirudi kwenye box) ni jaribio ambalo lazima lipingwe, likataliwe n.k. Endapo Balali ataamua kujiuzulu au kuachia ngazi ni lazima awe katika uhuru wote wa kusema anachojua.

Ni kwa sababu hiyo basi ndugu zangu wa JF, tumuombee apone na awe huru kuzungumza. Naomba niingie kwenye rekodi na kusikika kusema kuwa BALALI AACHWE AZUNGUMZE NA ASINYAMAZE/ASINYAMAZISHWE MILELE!

M. M

Huo ndio mchezo wenyewe na nina hakika Halisi anaujua. Kwa mwenye bahati ya kumpata Halisi kwa njia yoyote, amuulize.. mimi sina uwezo huo maana mie mgeni, ila kwa kuweka hii mada na kwa maneno yake, yeye na Mwanakijiji hawako mbali na UKWELI
 
Kwa hakika saa chache zijazo, tunaweza kusikia kwamba, "Kutokana na matatizo ya kiafya, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dr. Daudi Ballali, ameamua kuomba kwa hiari yake kujiuzulu" halafu taarifa ikaendelea, "kutokana na maelezo aliyowasilisha kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, J.M.Kikwete, kwamba hali ya afya yake imeendelea kuzorota tokea afanyiwe upasuaji huko Marekani"
 
wala wasituzuge.. hali yake haijazorota wala nini.. kama walitegemea atarudisha namba huku wamechelewa.. jamaa is getting better na atarudi home kumkoma nyani giledi!! Hivi hii ndiyo sababu RO alikuja huku kumuaga "marehemu mtarajiwa"?
 
Dua la kuku siku zote halimpati mwewe!

Japo wote tu wageni wa malaika muda wetu ukitimu.
 
Duuh, haya mambo yanavyo develop utafikiri, kuna mtu alinyunyiziwa Pollonium 210 vile.. lakini wabaya wake ndiyo waka misstep dose by a few micrograms!!!

SteveD.
 
It is true kuwa RO alitumwa kumwona mgonjwa wikendi ya Dec. 2. Among other things alishangaa kumkuta akiwa hai, ingawa hali yake haikuwa nzuri, na kusema ni mwujiza wa Mwenyezi Mungu, kana kwamba alijua mgonjwa hatapona. (For whatever reasons best known to himself) Tatu, aligusia uwezekano wa mgonjwa kujiuzulu, nafasi yake apewe mwingine. Na nne: and this is the kicker-- alimshauri asirudi Bongo, ever!
 
Mmmmmhhhhhh!!!!!! Jasusi mbona haya makubwa. Looh! kumbe tuna mafia wakubwa sana kwenye nchi yetu.

Yaani huyu RO muungwana tuliyekuwa tunakunywa naye kila mara huku majuu ndiye anongea hayo maneno bila hata aibu?

Hii nchi imenishinda kweli kweli.
 
It is true kuwa RO alitumwa kumwona mgonjwa wikendi ya Dec. 2. Among other things alishangaa kumkuta akiwa hai, ingawa hali yake haikuwa nzuri, na kusema ni mwujiza wa Mwenyezi Mungu, kana kwamba alijua mgonjwa hatapona. (For whatever reasons best known to himself) Tatu, aligusia uwezekano wa mgonjwa kujiuzulu, nafasi yake apewe mwingine. Na nne: and this is the kicker-- alimshauri asirudi Bongo, ever!

Jana Jk, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu taarifa kwamba Ballali hatarejea nchini na yeye alijibu, "kuhusu kutorudi sina taarifa, lakini ninachofahamu ni kwamba ni mgonjwa." na leo Msemaji wa Ikulu anasema, "sina taarifa kwamba kajiuzulu na kama kuna barua basi haijatufikia."
 
It is true kuwa RO alitumwa kumwona mgonjwa wikendi ya Dec. 2. Among other things alishangaa kumkuta akiwa hai, ingawa hali yake haikuwa nzuri, na kusema ni mwujiza wa Mwenyezi Mungu, kana kwamba alijua mgonjwa hatapona. (For whatever reasons best known to himself) Tatu, aligusia uwezekano wa mgonjwa kujiuzulu, nafasi yake apewe mwingine. Na nne: and this is the kicker-- alimshauri asirudi Bongo, ever!

Kwanza nashukuru kwa hizi habari.

Lakini Jasusi sijui huo undani wa hii habari yako especially in Red, sijui ulikua karibu kiasi gani hadi ukaweza kupata habari hiyo.

Other´wise kama kwa namna moja ama ingine alikua poisoned na mtu yeyote katika kutaka kumtoa kafara. Ni muda mwafaka kwake kusema yaliyojiri ili hata ikitokea vinginevyo hao wahusika wa BOT waumbuke, vinginevyo na yeye yumo so anataka kufa na tai yake shingoni.

Ugua pole na karibu bongo tena wasikutishe, Bongo bado salama
 
mwee wajimini mbona wa tanzania hatupewi taarifa muhimu za viongozi wetu kama huyo tapeli Balali??as sahihi yake imo hadi kwenye fweza zetu sasa mbona hatuambiwi kwanza anaumwa nini?
me naona serikali yetu yataka kutuzidi akili tuu hamna lolote!ugonjwa gani huo wa kulazwa hospitalini wakati woote huo?kwa gharama za nani?si akalazwa muhimbili tu pale aweze na kuhojiwa vyema juu ya ma bilioni yetu??
 
Back
Top Bottom