Gavana Balali Ajiuzulu!

Gavana Balali Ajiuzulu!

Re: KLHN Breaking News - Gavana Balali Ajiuzulu!

--------------------------------------------------------------------------------

Quote: Nyani Ngabu
Ndiyo, sitaki hadi unionyeshe pale KLHN News walikuwa wa kwanza kui-break...
Kwenye tovuti kuna 'Eid Njema sijui Eid Muabarak'....hapa poster wa kwanza alikuwa Hasara au Halisi (sorry I tend to mix up the 2)...so where does KLHN fit into this?

naweza kukufanyia hiyo homework but then it won't be fair. Wewe angalia sehemu zote na uone ni nani aliyesema "Balali Ajiuzulu" kwanza. Halafu njoo nisahihishe.

Nyani Ngabu soma hapa.. Lakini nadhani sidhani kama huo mjadala unaouleta una maana yoyote katika hii mada. Na hii headline ndio iliyopasua jipu, japo inawezekana wote, Halisi na Hasara walikua wakijua kwa hakika kabisa kuhusu Kujiuzulu (Kujiuzuliwa) kwa Ballali.

Today, 07:13 PM
Mzee Mwanakijiji
JF Senior Expert Member Join Date: Fri Mar 2006
Location: Kijijini
Posts: 6,632
Rep Power: 36

Thanks: 818
Thanked 1,383 Times in 681 Posts
Credits: 144,121

KLHN Breaking News - Gavana Balali Ajiuzulu!

--------------------------------------------------------------------------------

Habari za kuthibitishwa zinasema kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw. Daudi Balali amejiuzulu wadhifa wake huo kutokana na sababu za kiafya. Gav. Balali alikuwa ameenda Marekani kwenye jimbo la Massachusetts jiji la Boston ambako alikuwa ameenda kufanya upasuaji. Gav. Balali katika barua yake kwa Rais amesema kuwa kutokana na "sababu za kiafya" hatoweza kuendelea na wadhifa huo. Ikumbukwe kuwa Gav. Balali aliandamwa na tuhuma nyingi katika chombo hicho cha Benki Kuu kwa muda mrefu sasa na watu wengi wakiwemo viongozi wa upinzani wamekuwa wakimtaka Rais amwajibishe.

Hata hivyo wachunguzi wa mambo ya kisiasa na wale waliokuwa wanafuatilia suala hilo la tuhuma za ufisadi wanatambua kuwa katika sakata hilo Bw. Balali hakuwa peke yake na kuna dalili za vyombo na watu wengine mashuhuri kuhusika katika ufisadi huo na hivyo yeye Balali kuwa ni mtolewa kafara wa kwanza.

Kufuatia habari za kujiuzulu kwake ambazo KLH News ilianza kuzisikia tangu jana, kuna uwezekano mkubwa kabisa wa Gavana huyo kutoweza kurudi nyumbani kabisa kutokana na sababu "mbalimbali" ambazo hazitaweza kuzuilika.

M. M.
__________________

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8267&page=3
 
http://www.klhnews.com/

Ukibonyeza hiyo link inakupeleka kwenye tovuti ambayo haifanyi kazi. Sasa aliyeleta taarifa hapa ni Mwanakijiji. Je, Mwanakijiji amebadilisha jina na sasa anajiita KHLN?
 
Naona waheshimiwa mmeanza ku deviate pole pole... anyway, nadhani hili linasameheka, maana wengi tayari mna suffer from eyestrain na wengi tuko tormented na impact ya story na jinsi inavyo ji-unravel..

SteveD.
 
http://www.klhnews.com/

Ukibonyeza hiyo link inakupeleka kwenye tovuti ambayo haifanyi kazi. Sasa aliyeleta taarifa hapa ni Mwanakijiji. Je, Mwanakijiji amebadilisha jina na sasa anajiita KHLN?

nyani.. haya basi ninabadili jina ili liandane na habari.. samahani kwa kukwaza.. sasa ulipopendekeza tuweke JF Breaking News.. mimi nimemuwa JF? au tuweke tu Mwanakijiji Breaking News?
 
http://www.klhnews.com/

Ukibonyeza hiyo link inakupeleka kwenye tovuti ambayo haifanyi kazi. Sasa aliyeleta taarifa hapa ni Mwanakijiji. Je, Mwanakijiji amebadilisha jina na sasa anajiita KHLN?

Ha ha ha, mambo ya UTATU MKEREKETWA hayooo.. the existence of a threesome state, each and every component is dependent of the other two.... And there goes Mkjj, (KIJIJINI-LEO-HII), maana kwenye kijiji kuna wana kijiji, na mmojawapo ni Mwanakijiji... So Nyani, can you really separate these three?! 🙂

SteveD.
 
Hakuna ninachofanya au nitakachofanya ambacho kitakuwa sahihi.. ni kutafuta makosa juu ya makosa na yakipatikana makosa basi yaangaliwa kuona kama kuna makosa ndani ya makosa hiyo. Which means, I have to lose! so I admit it nimefanya makosa. Tuendelee kumzungumzia Balali.
 
Hahahaha....Merry Christmas my friend (au kama hiyo haijakupendeza...Happy Holidays). Umeshafanya shopping lakini au wewe ni wale wa dakika za majeruhi?
 
Oh, nimepitwa bonge la breaking news,

Ila jama sasa hela zetu?? yaani akijiuzuru ndo basi?? ama hatua kari zinafuata kutokana na ubadhirifu alio ufanya ama alioruhusu ufanyike kwa dhamana alo kuwa nayo?

Ngoma si tatizo.. wengi wanayo na wanadunda.. tunachotaka ni hela yetu! Tunahitaji jua nini kilitokea ili tupate pa kuanzia kudai kilicho chetu! hata kwa kuvuana mashati tumechoka jama!
 
We wa Musoma nini...maana hizo R....mmhhh
 
PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE KIBINADAMU...MPAKA HAPO WENGI WATAKAPOGUNDUA ...DAUDI BALALLI ATABAKIA KUWA MMOJA KATI YA MAGAVANA WAZURI AMBAYO NCHI HII IMEPATA KUWA NAO...

.

I very much doubt this. If this is truly the case, then hatujawahi kuwa na gavana mzuri, wote walikuwa bomu. Badala ya kulinda pesa za walipa kodi, yeye aliamua kusimamia wizi wa hizo pesa halafu ndio leo wewe unasema alikuwa moja kati ya magavana wazuri. This is terribly disgusting!
 
1. Kwa sasa apigane tu na maradhi aliyokuwa nayo- tuzidi kumwombea apate nafuu ili aihudumie familia yake.

2. Hata mke wa Dr. Idris Rashid alipofariki kwa ugonjwa wa kukonda sana 1999 watu walisema ni ngoma- ila hadi leo Dr. Rashid yupo TANESCO na bado tu anadunda!
 
kwa wale wanaotaka kufanya ujasusi kwa simu tumia hii kitu hapa.

salamasms ina encypt msg kabla ya kuituma na anayepokea lazima awe na password uliyotumia msg jinsi ya kuweka kwenye simu yako fuata maelezo kwenye site

www.hostj2me.com/wmluser/a_minde Kisha click kwenye "sms salama"

so wale wanaopata shida kuwasiliana na bongo ukishaweka hiyo salamasms kwenye simu yako na unayemtumia lazima aweke, then wote laazima mpeane password vinginevyo hatoweza kufungua hiyo msg.
 
1. Kwa sasa apigane tu na maradhi aliyokuwa nayo- tuzidi kumwombea apate nafuu ili aihudumie familia yake.

2. Hata mke wa Dr. Idris Rashid alipofariki kwa ugonjwa wa kukonda sana 1999 watu walisema ni ngoma- ila hadi leo Dr. Rashid yupo TANESCO na bado tu anadunda!

Huenda huyo Dr. Idris Rashid anayo (alikuwa nayo) kinga kama ile ya wale malaya wa Mombasa, ambao walikuwa hawadhuriki kwa hiyo 'ngoma' huku wengine wakipukutika. Kuna wachache hawashikiki; lakini huwezi jua; mpaka ufanye majaribio. Naye Zuma je, alikuwa nayo kinga, ama aliviwahi vijamaa na kuvioshelea mbali?
 
Hii stunt ya shower should not be tried at home
 
Back
Top Bottom